Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Mtu asiye na akili timamu, ndio anaweza kuona maelezo ya wenje yamenyookaTundu Lissu haaminiki tena, maelezo ya Wenje yamenyooka sana.
Umesikiliza interview yote ya Wenje?Tundu Lissu haaminiki tena, maelezo ya Wenje yamenyooka sana.
Sasa hiyo hongo ilikuwa ya nini kama hakuna chochote kilichobadilika kutoka kwa hao wanodaiwa kuhongwa kumnufaisha muhongaji?!Utetezi wake hauwezi kushawishi watu.
Wenje anapinga madai ya kuhongwa kwa hoja nyepesi kuwa mbona anaendelea kuisema negative administration ya Samia.
This is weak argument
Kwani mapandikizi ambayo yanawekwa na watu wa system ndani ya chama huwa unategemea wawe wana behave kichawa kuwa upande wa serikali ?Sasa hiyo hongo ilikuwa ya nini kama hakuna chochote kilichobadilika kutoka kwa hao wanodaiwa kuhongwa kumnufaisha muhongaji?!
Hakuna mapandikizi wala nini, hayo mapandikizi yangekuwa na maana yoyote kusingekuwa na hekaheka kubwa hivyo za dola kunyamazisha upinzani na ukosoaji kwa nguvu kubwa hivyo.Kwani mapandikizi ambayo yanawekwa na watu wa system ndani ya chama huwa unategemea wawe wana behave kichawa kuwa upande wa serikali ?
Huoni kufanya hivyo kutaharibu mipango yao kwasababu itakuwa ni rahisi kusanukiwa?
Kama hakuna mapandikizi jiulize tu why Raisi siku ya hotuba yake atoe kauli kuwa amepewa taarifa na mashushushu wake, ambao wako ndani ya hicho chama?Hakuna mapandikizi wala nini, hayo mapandikizi yangekuwa na maana yoyote kusingekuwa na hekaheka kubwa hivyo za dola kunyamazisha upinzani na ukosoaji kwa nguvu kubwa hivyo.