mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Naanza kuona ujinga mkubwa sana kupigania maiti ambayo haijitambui
Mh Lissu, wewe ni shujaa sana tena sana na mpaka sasa hakuna binadamu yeyote Tanzania tangu nchi yetu kujipatia uhuru wake atakayefananishwa na wewe
Ila leo nimeamka vibaya, nimeamka nikiwa na huzuni kubwa kukuhusu, unaumia Lissu, unapigwa baridi Lissu, huli chakula ukitakacho, familia yako inakumiss Lissu, Yatosha sasa,
Ikumbukwe kuwa, Dunia haijawahi kusimama, Alikufa JPM maisha yakaendelea licha ya walala hoi wengi kumpenda
Nafahamu, Lissu unapendwa na wengi, ila haitoshi kuondoa ukweli ukweli kuwa, siku utakayopotea usoni mwa dunia hii, maisha hayatasimama
Siku ya uchaguzi Alimarufu Mo29 ilipoteza maelfu ya watu, cha ajabu hakuna kilichosimama, maisha yangali yakiendelea
Nafahamu, kuna wengi mashabiki Mandazi ambao mioyo yao inaumizwa na mengi kuihusu Tanzania, ila cha ajabu, hawako tayari kuchukua hatua na tena hawatakuwa tayari kukubaliana na hichi nisemacho leo kwamba, wao hawana msaada wowote kwenye maisha yako yawe ya kawaida ama ya kisiasa zaidi wangetamani ubakie huko jela ili wakusifie kukuita Mandela wa Tanzania, huu ni ujinga, sasa yatosha
Mh.Lissu, mimi siyo liccm, ni Chadema Damu, nasikitika kusema, wewe wakati ukiwa ndani huku ukiumizwa na hali mbaya ya huko, huku nje hasa kwenye Chama, hakuna chochote cha maana ambacho kinaweza kuwa msaada wa chochote kuyahusu maisha yako ya hatari ukiwa jela
Sasa, kwa maumivu unayopitia Lissu, na ujinga wetu unaotupigania, kubali kila ushenzi wa mahasimu wako utoke huko ukale maisha nje ya nchi
Wenye nchi wakijitambua, itawahusu gharama yao