Tundu Lissu yuko sahihi: Majaji wengi hawajahitimu vyuo na elimu zao ni za mitandaoni

Mkuu ile report ya Tundu Lisu inahitaji vichwa kama elfu moja kuijadili.. Na mpaka sasa hawajaijibu.. Wewe huiwezi hata kidogo.. Waachie Werema & co watafute cha kujibu kama watapata.. Hakuna majibu ya "nijuavyo mie" mule..

Sent from Tora Bora

asante
 

Naamini katika mabadiliko, kumbe Pasco uko njema namna hii? Jiunge M4C sasa.
 

Kati ya vitu alivyovizungumzia TL ni pamoja na adhabu dhaifu zinazotolewa kiupendeleo bila kujali madhara ya baadae, na hiyo adhabu ni moja wapo. Je! Huyo hakimu kwa kuhamishwa huoni kama anaenda kuwapa adhabu kama hiyo watu watakao ingia na vibalaghashia?

Kwa hiyo wewe kwa maada yako unamaanisha kumhamisha mtu aliyefanya kosa kikazi ni adhabu tosha ilhali anakohamishiwa anaenda kufanya kazi ile ile? Huoni mazingira ya kwenda kufanya makosa yale yale!?

Umekuja na point moja dhaifu juu ya ripoti yenye point zaidi ya 20 na unataka tuikatae ripoti yote? Ongeza points kwenye utetezi wako, hii ya kwanza ni dhaifu angalau kwa mtizamo wangu.
 

Endelea kujipaka pilipili machoni....propoganda za udini mmejitahidi lakini mmeshindwa msingi wa kesi/hukumu aliyoitumia lissu haina uhusiano wowote na dini.mtizamo wako finyu na kutaka kuaninisha umma kuwa lissu anaubaguzi.Bado kidogo hata hao wanaogomea sensa mtasema wametumwa na CDM.
 

Anayetakiwa kudhibitisha ushaidi wa Lissu ni serikali au aliyewateua coz he has all the details.na kama kulikuwa na makosa ya kutokufutwa kwa utaratibu then anayetakiwa kuojiwa ni mteuaji siyo mteuliwa.
 

Hapo kwenye blue ninakubaliana na wewe kuwa Lissu hakuwa makini wa kusahihisha kile alichokiandika, lakini kukosea jina la mhusika hakumfanyi mhusika aliyekusudiwa kuepukana na shutuma. Ni kweli sio Moshi ni Mushi, lakini Sekela itabaki pale pale ispokuwa tu wote wawili Sekela Cyril Mushi na Sekela Cyril Moshi wawe ni majaji
Huyu mama ni mzoefu na wa zamani sana kwenye mahakama na wanaomfahamu walitegemea hata awe jaji miaka mingi iliyopita. Kwa shuleni (UDSM) alikuwa na uwezo mzuri sana na pia aliteuliwa kuwa magistrate mapema sana kuliko hata wenzake aliosoma nao.
Hili la uzoefu na usomi mzuri, hakumfanyi mtu asiwe na makosa kwa vigezo hivyo tu. Kama utaangalia, mafisadi na wafanya madudu wengi ni watu wenye elimu na uzoefu mkubwa, na zaidi, mtu anaweza kuwa na sifa zote hizo pamoja na uaminifu mkubwa, lakini siku akiteleza na kufanya madudu, anaagaliwa kosa lake la sasa na sio uadilifu wake wa nyuma. Hata Ibilisi kabla ya kulaaniwa na Mungu alikuwa mcha Mungu mzuri, lakini kwa neno moja tu aliposema ameumbwa kwa Moto badal ya Mwanga, alifukuzwa toka peponi.
 
kamwe msinifananishe mimi na asenga abubakar mpare na asenga wa morogoro tofaut sana ;uhuu ndio ukweli mliutoa bila kujadili acheni kula mavi ili mpate akili nzuri.mavi si chakula,yana haribu akili.
 
kamwe msinifananishe mimi na asenga abubakar mpare na asenga wa morogoro tofaut sana ;uhuu ndio ukweli mliutoa bila kujadili acheni kula mavi ili mpate akili nzuri.mavi si chakula,yana haribu akili.

Say it all but bottomline umetokota...... Nani anakula mavi kati ya we mleta uzi na wachangiaji?Bahati mbaya sana watu wanaendelea kufunuliwa kwa yale ambayo mlikuwa amtaki wayajue.
 
kamwe msinifananishe mimi na asenga abubakar mpare na asenga wa morogoro tofaut sana ;uhuu ndio ukweli mliutoa bila kujadili acheni kula mavi ili mpate akili nzuri.mavi si chakula,yana haribu akili.
Asenga wa Pakaya unatia kichefuchefu, kwanini utumie matukano tena ya maneno makali havi?!. Just imagine wewe ndio unakula hayo ma..!. Please! punguza hasira japo ni kweli member yoyote humu hapaswi kufananishwa na member mwingine yoyote!.
 
duh, sasa wew ulitaka afanye nini? nadhani alikuwa anajitetebjuu ya tuhuma alizozitoa kwa wanaofanya uteuzi, na hapo ndio maelezo yake, suala la hukumu fulani.... halina nafasui hapa
 
Source??????????????????????????????????????????????
 
Naamini katika mabadiliko, kumbe Pasco uko njema namna hii? Jiunge M4C sasa.
Mkuu Mtoto wa Mbale, thanks kwa compliments. Politics is a game, M4C is a one of the tactics of that game!. All of us can't be players, some of us we are just spectectors of the show ndio maana mimi nimejitanabaisha wazi, sio mwanachama, mfuasi au mshabiki wa chama chochote cha siasa. Sisi ni mashabiki wa demokrasia ya kweli kwa kuweka mbele maslahi ya taifa.
 
Aliyemfanyia LLM hata mimi namfahamu
 
Tunavyozungumzia uhuru wa mahakama tunazungumzia kwenye kutoa uhumu, sasa kama unamhamisha hakimu kwa kutoa hukumu usiyoipenda huko ni kuingilia uhuru wa mahakama. Uhuru wa mahakama hau extend to administratiion of the judiciary. Kwa mfano huwezi kuteua majaji vilaza na wasio waadilifu tukihoji useme ni uhuru wa mahakama
 
sijaona mapungufu kwenye hotuba ya utetezi ya mheshimiwa tundu lissu ila nimebaini unajaribu kutoa kasoro zenye kasoro.hoja yako inakasoro nyingi kuliko zile kasoro ulizotaka kutuonesha
 
Asenga wa Pakaya unatia kichefuchefu, kwanini utumie matukano tena ya maneno makali havi?!. Just imagine wewe ndio unakula hayo ma..!. Please! punguza hasira japo ni kweli member yoyote humu hapaswi kufananishwa na member mwingine yoyote!.

Aisifuye mvua ... Huyo jamaa atakuwa alishawahi kutumia hiyo kitu ndo maana anayajua madhara yake vizuri. Msameheni bure seems bado hayajaisha kichwani.
 

Concept ya Mh. TL ni Constitutional supremacy, kila kitu kiendeshwe kwa utashi na utawala wa Katiba
 



Concept ya Mh. TL ni Constitutional supremacy na sio parliamentary supremacy, kila kitu kiendeshwe kwa utashi na utawala wa Katiba
 
Eti kwa kuisoma report hiyo katika hadhara ya bunge ni kulichonganisha bunge na mahakama!
Nyambav kabisa!Niku ulize kwani speaker si ndio alitaka ushahidi???
Sasa ulitaka Mh. Lissu apeleke mahakamani huo ushahidi ili hali alie utaka ni speaker???
Wewe utakuwa ndio hawa mahakimu vilaza TL anao sema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…