Tundu Lissu yuko sahihi: Majaji wengi hawajahitimu vyuo na elimu zao ni za mitandaoni

Safari hii huyo mwanasheria uchwara atafundwa sheria na ndio kajigeuza pweza kujipalilia mkaa mwenyewe.
 

Mammamia,
Nakubaliana kabisa na hoja yako kwamba uwezo au audilifu mwanzoni hauna maana na sasa atakuwa mwadilifu.

Point yangu ni kwamba unless huyu mama kuna madudu amefanya, kitu ambacho toka hili suala lianze sijasoma popote, nitashangaa kwanini asipendekezwe kuwa jaji wakati ana sifa zote na amekuwa kazini muda mrefu kuliko hao wengi waliopendekezwa kuwa majaji?

Hapo ndio linakuja suala la pili, huenda hapa kuna mistaken identity; Unachunguza jina la Mushi wakati mhusika ni Moshi. Huoni kwamba kuna possibility majibu utakayopewa yasiwe sahihi?

Ningelikuwa na uwezo wa kumwuliza mheshimiwa Lissu, ningemwambia a clarify hili suala. kwa ku check records zake na kusema ambaye hajawi pendekezwa ni Sekela Moshi.

Tanzania haina jaji kwa jina Sekela Mushi; hizo ni surnames mbili tofauti na kama unachunguza jambo, unaweza kupata majibu tofauti kabisa kutegemeana na umetumia jina gani.
 

Mkuu hapo kwenye red tujuze tafadhali. Una-refer maandiko au kitabu gani? Hii ni mpya kwangu.
 
Shida kweli kweli. Mwenzio amejenga hoja kisomi wewe unakuja kuipinga kihisia na kimipasho? Go to school boy
 
kamwe msinifananishe mimi na asenga abubakar mpare na asenga wa morogoro tofaut sana ;uhuu ndio ukweli mliutoa bila kujadili acheni kula mavi ili mpate akili nzuri.mavi si chakula,yana haribu akili.

[:focus:] inaonekana hukujipanga umekurupuka.
 
Watu wengine bana, wewe unajaribu kujibu hoja kwa kutumia mipasho? Wewe mpuuzi sana, tena sana.

Mambo alioainisha Mheshimiwa Lissu juu ya mapungufu ya mahakama zetu ingekuwa kwenye nchi zilizoendelea ukiukwaji wa katiba uliofanywa katika kuteua majaji wa mahakama kuu ungempelekea Rais wa nchi aliyekiuka taratibu kuwa IMPEACHED!! Bahati mbaya sana huku kwetu uvunjaji wa katiba na viongozi waliokula kiapo kuilinda tunaona kama ni kitu cha mchezo.
 
Mkuu hapo kwenye red tujuze tafadhali. Una-refer maandiko au kitabu gani? Hii ni mpya kwangu.
Maneno yaliyomfukuzisha Ibilisi peponi ni pale alipotamka neno Mimi umniumba kwa Moto (Naar) badala ya neno Mwangaza (Nur). Nina-refer Kitabu cha Koran, Sura ya 7:11-13.

Pia yamerudiwa maneno hayo katika Sura 38: 76
76. Akasema: Mimi ni bora kuliko yeye. Umeniumba kwa Moto, na yeye umemuumba kwa udongo
.


 
umekaa kidini kweli! Hata watu wakichoma kanisa/msikiti halafu wakahukumiwa itabidi hakimu aondolewe! So pathetic. Mbona hujapinga mengine? Lissu is smart
 

Haya umeongelea moja ya Kibalaghashia, vipi zile hoja nyingine?

Jaji aliyeshindwa kuandika hukumu kwa miaka minne?
Kuwaongezea majaji mikataba bila kuwaapisha tena?

Too narrow kada wa chama chenu mabwepande.
 

mkuu Pasco, huyu Ana Makinda si alichaguliwa na kuridhiwa na bunge? pamoja na uchafu wa chenge, tumeshuhudia bunge likimpitsha kuwa mwenyekiti wa kamati NYETI ya bunge?!!!! Nikubaalie japo mara hii tu kuwa, tatizo linalotumaliza ni zimwi CCM.

Veting pamoja na ccm ni sawa kunywa panadol kama tiba ya malaria!!!!!!
Tuivurumishe ccm, tuwashughulikie akina chenge & co. tutengeneze protocal za haki na wajibu kuwa mzegamzega mmoja, then veting itakuwa na mantiki.
 
Last edited by a moderator:
Mleta mada hukusoma ripoti ya Lisu?U nani wee hadi uisemee mahakama? Mbona wenyewe wanaikubali ripoti hiyo?Agrrr jipeleke Mabwepande mwenyewe looser.
 
mkuu uwezo wako mdogo kuchambua vitu tafuta wataalamu wakuchambulie hata mkuu wa nchi anajua TL ni noma kaa kyma ,
 
Mkuu AwP, inawezekana ulidhamiria mazuri lakini katika uandishi hususani ule wenye kuleta ushawishi fulani kwa watu wengine hukupaswa kuandika au kuleta hoja namna hiyo.

1. Lugha unayotumia(haina heshima na staha)nachelea kusema ni ya Jukwaa lile lingine(kama Chit-Chat,Mahusiano n.k)
2. Uandishi wa maneno(Font size inachosha/haivutii kufika mwisho wa makala)
3. Uchambuzi (Critical Analysis) wa kutumia hoja moja tena kama neno "Vibhalaghashia" haileti mantiki
4. Bado kuna mapungufu katika Taarifa ya Mh.Tundu Lissu(MB), yaani vipi hoja alizozitoa?ni za ukweli?kama ndivyo je
unasema nini kuhusu hilo?
5. Hoja yako imekaa kiushabiki na kichama zaidi kuliko uchambuzi wa hoja moja moja kuhusu huyo mlengwa wako Mh.TL
(MB).

anyway jipange upya tuje tujadili hapa jukwaani kama great thinkers.
Eid Mubarak.
 

Tundu Lissu ameonyesha tena umahiri wake katika kuchambua sheria bila kuogopa wala nini, mie makala ile imenisisimua na kunikuvya mengi ya aibu kwa jk.
 
Pasco tangu UHURU bunge la Tanzania halijawahi kutunga sheria!!!!!! Lenyewe linajadili na kupitisha sheria zilizotungwa na serikali!!!!!
 
as per your avatar I don't want to comet anything you silly cockroach,silly people
 
aidha wewe na tundu lisu huwa mnalewa wote pale chako nichako hadi siku ile alitaka kuvua nguo na kupanda kwenye meza huwezi sapoti sababu zake za kiwivu wa kike
 
ukweli hauwezi kuachwa kusemwa eti kwa sababu kuna wajinga fulani wamelewa dini. umemwaga upuuzi wa hatari mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…