johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hainaga mpinzaniCcm oyee
Moja ya Sifa kuu ya Tundu Lissu ni Mkweli
Alisema CHADEMA bado haijawa na Wagombea wa kutosha kuikabili CCM
Hiyo imejionesha kwenye wilaya karibu zote
Mfano mzuri ni Kilosa Vijiji 138 Chadema ina wagombea 70 tu
Vitongoji zaidi ya 800 lakini Chadema ina wagombea 200 na ushee tu
Safari bado ni ndefu 🐼
Ruzuku ya Chadema ni zaidi ya tsh 100mil kwa mwezi 🤣..Ccm inapokea ruzuku BILLIONI 3.2 kila mwezi.
..Cdm inapokea ruzuku chini ya milioni 5 kwa mwezi.
..pamoja na hali hiyo bado Ccm inataka kuengua wagombea wa Cdm.
Ruzuku ya Chadema ni zaidi ya tsh 100mil kwa mwezi 🤣
Muulize Tundu Antipas Lisu maana ndiye aliyetoa ufafanuzi wa formula iliyowapa Chadema Wabunge 19 wa Viti Maalum na amount ya ruzuku ambayo ni zaidi ya tsh million 100 😄..sio kweli.
Unapost sana humu,Leo ndo nimegundua huna akili.milioni 100 ni hela na wewe kwa nchi nzima?Ruzuku ya Chadema ni zaidi ya tsh 100mil kwa mwezi 🤣
Muulize Tundu Antipas Lisu maana ndiye aliyetoa ufafanuzi wa formula iliyowapa Chadema Wabunge 19 wa Viti Maalum na amount ya ruzuku ambayo ni zaidi ya tsh million 100 😄
Nasikia hiyo ruzuku kwa kwa kiwango kikubwa inaishia kwenye mfuko wa Mbowe; sijui kama ni uzushi tu au la😎Ruzuku ya Chadema ni zaidi ya tsh 100mil kwa mwezi 🤣
Huu ndio utoto wa akili yako, au niuite uchizi.Moja ya Sifa kuu ya Tundu Lissu ni Mkweli
Alisema CHADEMA bado haijawa na Wagombea wa kutosha kuikabili CCM
Hiyo imejionesha kwenye wilaya karibu zote
Mfano mzuri ni Kilosa Vijiji 138 Chadema ina wagombea 70 tu
Vitongoji zaidi ya 800 lakini Chadema ina wagombea 200 na ushee tu
Safari bado ni ndefu 🐼
Ina maana wengi wote wameenguliwa?Moja ya Sifa kuu ya Tundu Lissu ni Mkweli
Alisema CHADEMA bado haijawa na Wagombea wa kutosha kuikabili CCM
Hiyo imejionesha kwenye wilaya karibu zote
Mfano mzuri ni Kilosa Vijiji 138 Chadema ina wagombea 70 tu
Vitongoji zaidi ya 800 lakini Chadema ina wagombea 200 na ushee tu
Safari bado ni ndefu 🐼
Sasa kama tatizo ni kutokuwepo mpinzani wa CCM; una maana hata huko ndani ya CCM ndiyo wote muwe majuha wa kuendeshwa na hawa walio amua kulididimiza taifa hili?Hainaga mpinzani
TUNDU LISSU - WALIOENGUA WAGOMBEA WA CHADEMA NI WAHUNI, HAWANA MAMLAKA HAYO KISHERIA
Tundu Lissu - Huwezi Kuwekewa Pingamizi na Mtu Asiye Mgombea,
Tundu Lissu achambua Maana ya zoezi hili la uteuzi 07 November 2024 lililofanywa na TAMISEMI
Hata kama CHADEMA wangekuwa na mabilioni ya pesa katika mazingira ya namna hii hiyo pesa isinge kuwa na maana yoyote...Ccm inapokea ruzuku BILLIONI 3.2 kila mwezi.
..Cdm inapokea ruzuku chini ya milioni 5 kwa mwezi.
..pamoja na hali hiyo bado Ccm inataka kuengua wagombea wa Cdm.
Mkurugenzi au mtendaji hana mamlaka ya kutundika jina la fulani tu, bali analazimika kurmrundika majina yote bila kisingizio cha