11 November 2024
Tarime Vijijiji, Mara
Tanzania
View: https://m.youtube.com/watch?v=ljUZoM61U9I
Viongozi wa chama kikuu cha upinzani Tanzania kamanda Mwita Isasi mwenyekiti CHADEMA wilaya ya Tarime na kamanda Mrimi Zabroni katibu wa CHADEMA jimbo la Tarime vijijini, wakiongea na wanachadema mbele ya waandishi wa habari, CHADEMA imeweza kusimamisha wagombea zaidi ya 900
Mrimi Zabroni katibu wa CHADEMA jimbo la Tarime vijijini abainisha madudu ya ajabu uchafuzi wa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 ... mfano kijiji kimoja msimamizi uchaguzi msaidizi amewaengua wagombea wote ...
Kamanda Nyangoko Paul Thomas mgombea wa CHADEMA katika kijiji kata ya Sirari amewekewa pingamizi ana uraia pacha wa Tanzania na Kenya hivyo kuenguliwa ..
Mrimi Zabroni katibu wa CHADEMA jimbo la Tarime vijijini asomea wana Tarime Vijijini sababu zote moja baada nyingine za kufikirika kutokana na shindikizo la ....
Naye Bi. Fatuma Migela mwanachama mwandamizi wa CHADEMA Sirari Tarime anasema nchi hii sasa inaburuzwa, fujo na vurugu za CCM zitaopeleka nchi pabaya..
Bi Fatuma Migela amuomba rais Samia Hassan aingilie katika wananchi wasibaguliwe, waachiwe wachague viongozi wanaoona wanafaa badala ya kuenguliwa kisa ni wagombea wa CHADEMA chama halali kilichosajiliwa na msajili wa vyama vya siasa
Mrimi Zabroni katibu wa CHADEMA jimbo la Tarime vijijini amesema rufani dhidi ya mapingamizi yaliyowekwa na CCM wanayapeleka wilayani kusikilizwa ..
Picha maktaba : Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime (Vijijini), Simion Kiles.
Tarime Vijijiji, Mara
Tanzania
CHADEMA TARIME WACHARUKA WAGOMBEA WAO KUENGULIWA "CCM NDIO WANAWEKA MAPINGAMIZI BADALA YA WAGOMBEA"