Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vitaje.Mbona kuna Vyama vingi tu havina Ruzuku lakini vimesimamisha Wagombea Kibao 😂😂😂
....Na hapo bado hawajaenguliwa kwenye uteuzi!Moja ya Sifa kuu ya Tundu Lissu ni Mkweli
Alisema CHADEMA bado haijawa na Wagombea wa kutosha kuikabili CCM
Hiyo imejionesha kwenye wilaya karibu zote
Mfano mzuri ni Kilosa Vijiji 138 Chadema ina wagombea 70 tu
Vitongoji zaidi ya 800 lakini Chadema ina wagombea 200 na ushee tu
Safari bado ni ndefu 🐼
amekuwa kwa miaka 5 mjumbe wa serikali ya mtaa wa Kisasa Medeli toka mwaka 2019 hadi 19 October 2024.
Miradi ya CCM inaingiza tsh 40 billion kila mwaka 😀..Ccm jaribuni kujiendesha kwa ruzuku kiduchu, au sifuri, kama wanayopata vyama vya upinzani tuone mtafika wapi.
..au waachiene wapinzani wamiliki Tume ya Uchaguzi, Polisi, na mahakama, tuone kama Ccm wote hamtaacha siasa.
Miradi ya CCM inaingiza tsh 40 billion kila mwaka 😀
Chadema baada ya maridhiano wamepewa billion 3, mmewekeza wapi?..hiyo miradi chanzo chake si mabilioni ya fedha za kodi ya wananchi?
..Je, Tlp, Tadea, wangekuwa wanapewa mabilioni kama Ccm wasingekuwa mbali?
Ukubwa wa ACT Wazalendo Kigoma wadhihiri
View: https://m.youtube.com/watch?v=X39XiI7SRDA
tumezunguka kata zote 139 za mkoani Kigoma na tunashiriki kindakindaki uchaguzi wa serikali za vijiji, vitongoji na mitaa hayo amesema kiongozi wa ngome ya vijana ACT Wazalendo Abdul Nondo, na kiongozi mstaafu Zitto Kabwe walipotembelea maeneo Kagunga n.k mkoani Kigoma kuonesha utayari wa kushinda uchaguzi wa serikali za mitaa 27 November 2024
BREAKING NEWS 9 November 2024
View attachment 3147961