Tundu Lissu yupo Kenya kwa uzinduzi wa kitabu chake

Tundu Lissu yupo Kenya kwa uzinduzi wa kitabu chake

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Antipas Lissu ametua nchini Kenya kwa ajili ya uzinduzi wa kitabu chake, je atakuja nchini?

#Tanzania opposition politician Tundu Lissu, who has been exiled in Belgium after fleeing the country in 2020, has arrived in Kenya ahead of his book launch on Friday.

Mr Lissu will be launching his book titled “Remaining in the Shadows: Parliament and Accountability in East Africa”.

View attachment 1828258
Angezindulia the Hague
 
26 June 2021

ALICHOZUNGUMZA TUNDU LISU BAADA YA KUZINDUA KITABU CHAKE NCHINI KENYA


Tundu Lissu alipoulizwa Kuhusu utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan, mtanzania huyo aliye uhamishoni amesema serikali ya awamu ya sita chini ya Mh. rais Samia imeanza vizuri, ila ina kazi kubwa ya kuirejesha Tanzania katika mstari wake wa kujali uhuru, haki na demokrasia ulikuwapo kabla ya utawala wa Mh. Magufuli haujaingia madarakani
Nilitoroka tanzania kwa sababu kuna watu wakubwa walitaka nife, na watu hao hawajawahi kutajwa. Nimeomba kuzungumza na Mama na ninasubiri majibu, lakini sitangoja milele, kuna wakati utafika nitamwambia nakuja nyumbani. Tundu Lissu.
Source : WATETEZI TV
 
Wale waliotumwa sidhani kama bado wako hai. Lazima walichinjwa na aliyewatuma. Walifanya upumbavu sana unamwaga risasi zaidi ya 40 kwenye range ya 5metres unakosa mtu??
Kweli Miujiza ipo na inaishi. Mungu alitaka kutuonesha kuwa miujiza sio ile ya akina Nabii Eliya pekee.
Kabisa pale Ni Mungu tu alifanya muujiza
 
Remaining in the Shadows – Parliament and Accountability in East Africa

Foreword
:

The timing of the publication of the book is critical in that it will fuel these current debates. His last sentence in the book is a clarion call for democratic action – “But the bitter lessons of history should never be forgotten in the quest to construct a more workable democratic order.”

Dr. Willy Mutunga
Chief Justice & President of the Supreme Court
Republic of Kenya, 2011-2016
Nairobi
September 2020
 

RULE OF LAW PROGRAMME SUB-SAHARAN AFRICA (ANGLOPHONE COUNTRIES)

Home - Rule of Law Programme Sub-Saharan Africa (Anglophone Countries)


Book launch of
Book Launch in Nairobi, Kenya

Remaining in the Shadows: Parliament and Accountability in East Africa

By Tundu Lissu

In this book, Tundu Lissu traces historical journey from the early days of Parliamentarism during the time of colonialism to the current state of democracy in the three countries of East Africa namely, Kenya, Tanzania and Uganda.
 
Back
Top Bottom