Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Wasiojulikana wamejulikana?
Karibu nyumbani mtanzania mwenzetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu nyumbani mtanzania mwenzetu
Mmeo sabaya tayari yupo jela. Bado masaa mawili akalaleSasa si asafishe wote? Anangojea nini sasa?
Tena ikiwezekana aawakamate hata huo ubunge awanyanganye awafunge jela
Wale Kule ni malaika?
Hivyo ana sifa za kugombea Ubunhe au Urais Kenya?
Kama meko alivyohamia chato.Naona Lisu angekuwa rais Ikulu angehamishia Nairobi
Unajitoa ufahamu au uliwekwa kimada ndio umeachiwa leo?Hivi Lissu alifukuzwa Tanzania?
Unachambia nini vile!!!?You must be really primitive.
Anadhani nimkapa huyuUnajisikiaje kuandika uharo kama huu?
Treason. Nadhani Kiswahili chake ni usaliti. Uchochezi ni subversionUsaliti au uchochezi.
Niko maabara naagalia hii formula ya conservation of mass kama haina makosa. Juzi tu nilijihakikishia kwamba ni kweli elimu ya particles physics inaweza kuwa ni njia nzuri ya kuelewa mbinu za kujikinga na radiation.Wewe umeandika vitabu vingapi au unasubiri Lissu akuandikie kila kitu.
UhainiTreason. Nadhani Kiswahili chake ni usaliti. Uchochezi ni subversion
hyo ni mavi yaliyopo kichwani mwako..Naona Lisu angekuwa rais Ikulu angehamishia Nairobi
Asante kwa Kiswahili murua. Uko sahihi sana.Uhaini
Anakajima ndiyo nini?ANakajima kufa huyo ndiyo maana anazindua kitabu
Najua ni hasira tu!hyo ni mavi yaliyopo kichwani mwako..
Wale Kule ni malaika?