Angezindulia the HagueMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Antipas Lissu ametua nchini Kenya kwa ajili ya uzinduzi wa kitabu chake, je atakuja nchini?
#Tanzania opposition politician Tundu Lissu, who has been exiled in Belgium after fleeing the country in 2020, has arrived in Kenya ahead of his book launch on Friday.
Mr Lissu will be launching his book titled βRemaining in the Shadows: Parliament and Accountability in East Africaβ.
View attachment 1828258
Huyu jamaa ana good ideas but the level ya arrogance aliyonayo I amshibda kabisa kuwa a good negotiator and a diplomatic characterTundu Lissu: I'm waiting for President Samia Suluhu to call ...
18 hours ago β Tundu Lissu says for President Samia Suluhu to succeed, she must be ready to change the constitutional order.
ImaLa ? Did you mean imara?Mwamba yopo imala kuriko jana
Ok okAsilimia 80% ya damu yake wakati wa matibabu yake ni yawakenya
Mataga mnapumulia noninoAzindulie upuuzi wake hukohuko! Kisha awauzie mabeberu.
Source : WATETEZI TVNilitoroka tanzania kwa sababu kuna watu wakubwa walitaka nife, na watu hao hawajawahi kutajwa. Nimeomba kuzungumza na Mama na ninasubiri majibu, lakini sitangoja milele, kuna wakati utafika nitamwambia nakuja nyumbani. Tundu Lissu.
Kuandika hujui we mlupo nenda kagongwe cha asubuhiANakajima kufa huyo ndiyo maana anazindua kitabu
Kabisa pale Ni Mungu tu alifanya muujizaWale waliotumwa sidhani kama bado wako hai. Lazima walichinjwa na aliyewatuma. Walifanya upumbavu sana unamwaga risasi zaidi ya 40 kwenye range ya 5metres unakosa mtu??
Kweli Miujiza ipo na inaishi. Mungu alitaka kutuonesha kuwa miujiza sio ile ya akina Nabii Eliya pekee.