Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
TUNDU LISU YUPO SAHIHI, TUNAPINGA UMUNGU MTU NDÀNI YA VYAMA VYETU SIÔ CHADEMA TUU BALI HATA CCM.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Watu aina ya LISSU wàpo vyama vyote sio CHADEMA tuu, wàpo Mpaka CCM na vyama vingine vidogo.
Ndàni ya nchi yetu kûna tatizo la umungu Mtu, umungu taasisi, Jambo ambalo ni baya Kwa Taífa.
Sisi Watibeli tunatumia Kanuni isemayo, usitumie Mawe mawili kupimia. Kwa sababu hiyo siô HAKI
Siô Kwa sababu wewe NI CHADEMA unayepinga ufisadi au Rushwa au Jambo lolote ovu Kwa Wengine lakini CHADEMA wakifanya hivyo ati ukae kimya Kisa NI wenzako au ndugu zako wamefanya hayo. Huo NI ushetani. Hiyo siô HAKI.
Kipimo unachotumia kuwapimia Wengine kwèñye maovu tumia kipimo hichohicho kujipimia wewe mwenyewe Siku ukifanya Kosa hilohilo.
Unafiki ni Sifa ya Walaghai, waongo, matapeli na Mashetani.
Lisu yupo Sahihi Kabisa, na Sisi Watibeli tunamuunga Mkono. Watu wa Haki na kweli waliopo CCM, CHADEMA, ACT na vyama vingine wote tunamuunga Mkono.
Sisi siô wale ambao tunaacha kutenda Haki au kusema Ukweli Kwa sababu ya kumnyenyekea Mtu Fulani Kisa atupe cheo au wadhfa fulani.
Íwe ni Mzazi, íwe ni Mtoto, íwe ni Mimi, íwe ni Mfalme, íwe NI Rais, íwe ni Kiongozi wa Dini, íwe NI mtu yeyote Yule lazima aambiwe ukweli kama anakosea, lazima Haki itendeke.
Kitendo cha kushindwa kusema kweli na kutenda Haki kisa Fulani ni Mzazi wako, au NI ndugu yako, au NI wewe au Mimi, au NI Kiongozi wako WA kidini au wakisiasa au Kiongozi yeyote NI dalili ya Kuwa wewe hufai Kuongoza Wengine, wewe sio muadilifu.
Imekuwa desturi ndàni ya nchi yetu na nafikiri nchi nyingi Duniani. Unakuta Mwanaccm anauwezo WA kuongea ukweli wa Mabaya ya Watu Wengine yani maovu ya vyama vingine lakini maovu ya Chama chake hawezi. Huo ni UNAFIKI na siô uadilifu hata kidôgo.
Hivyohivyo Kwa CHADEMA waô Kwao NI Sawa wakitamka Rushwa za Wengine, lakini akitokea Mtu ndàni ya Chama Chao akitamka uozo wa Chama chake anaonekana Mbaya. Hii ni nini ndugu zanguni.
Kama Taífa tunahitaji matengenezo Makubwa Sana ya Mtu mmojammoja, matengenezo ya kifamilia, matengenezo ya taasisi za Umma na Taífa Kwa ujumla.
Kunyamazia uovu wa Baba au Mama yako ni kumuunga Mkono. Kunyamazia uovu wa Kiongozi wako NI kumuunga Mkono yani kushiriki uovu huo. Kunyamazia uovu wa Dini yako ati Kisa unaabudu katika Dini hiyo NI kushiriki katika uovu huo. Kunyamazia maovu ya Chama Chako NI kumaanisha wewe nawe NI muovu NI vile umekosa nafasi.
Huwezi pata mabadiliko Kwa Watu wanaonyamazia maovu ya Watu waliokaribu yao.
Kikanuni, kuficha maovu ya my Mwingine NI kuficha maovu yako. Kwamba Kwa vile nawe unamaovu basi huwezi semà maovu ya Mtu Mwingine kwani maovu Yao nayo yatawekwa wazi.
NI kwèli kîla Mtu anaubaya Fulani lakini ili ubaya wetu uondoke lazima tuamue kuwa Sasa ubaya Basi. HAKI íwe chaguo letu. Kwèli ituongoze. Upendo úwe Nguzo yetu. Na Maarifa yatushikilie.
Haya, unasikia oooh! Mimi nilikipigania Chama, sijui jina langu kûbwa, sijui nilikuweka Hapo. Ooh! Tulipigania Taífa sijui Baba yàngu alitumikia nchi. Sawa Kwa nini nawe usifanye Mema kama Mzee wako. Au Kúpigania nchi au Chama ndîo íwe kisingizio cha kutaka kufanya maovu au uhalifu na usitake kuambiwa ukweli na kupewa HAKI yako?
Yàani usigusike Kwa maovu kisa ulipigania Chama sijui Taífa, au ati umetumikia nafasi Fulani kûbwa. Hiyo siô Haki.
Ûtawala Bora hauwezi ikaja kwèñye nchi hii kama Watu watakuwa na mtazamo wa Mawe mawili ya kupimia.
Yàani huyu NI CCM mwenzao wanam-treat tofauti na asiye CCM Kwa Jambo lilelile. Au huyu NI CHADEMA mwenzao wanam-treat tofauti na asiye CHADEMA Kwa Jambo lilelile. Huo NI umungu Mtu au umungu taasisi.
Tunahitaji usalama wa Taífa ambao hawana Mawe mawili ya kupimia. Tunahitaji JWTZ na Polisi na Vyombo vyote vya Dola àmbavyo vinatenda HAKI. Tunahitaji viongozi wa Dini na wakisiasa àmbao ukweli na Haki hawamung'unyi maneno. Tunahitaji mawakili, majaji na mahakimu wanaopenda Haki na kuitenda.
Tunahitaji Wazazi àmbao ni waadilifu WANAOPENDA Haki na kuitenda. Mambo ya Mzazi hakosei dhana ya kishetani na umungu Mtu. Na hiyohiyo ndîo imekua na kufikia level ya kitaifa kuwa ukiwa Kiongozi hukosei na hupaswi kuambiwa ukweli. Hizô Fikra za kidhulma.
Mfumo huo siô salama hata kidôgo Kwa sababu ni mfumo wa kishetani (kihalifu). Anatekwa au anauawa Mtu Kwa vile siô Mtoto wako unakaa kimya. Anadhulumiwa Mtu Mwingine Kwa vile Huna uhûsiano naye unakaa kimya. Tafsiri yake nawe ni mdhulumaji.
Kama Taífa tunahitaji matengenezo. Ûtawala Bora NI pàmoja na kutokuwa na mawe mawili ya kupimia.
Nawatakia maandalizi mema ya Sabato
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam.
Pia soma=> Lissu: CHADEMA ikiondoka kwenye misingi iliyonifanya nijiunge nacho, nitaondoka. CHADEMA siyo mama yangu wala dini yangu