Tundu Lissu yupo sahihi, tunapinga umungu mtu ndani ya vyama vyetu sio CHADEMA tu bali hata CCM

Hakuma chama kisicho na Demokrasia kama CCM, ati 2025 form ni MOJA ya Urais - why?

Afu Rais LAZIMA awe mwenyekiti wa chama - why? Kwani chama hakina watu wengine ili Rais abakie na madarakanyake ya kuongoza Dola.

Afu Mwenyekiti hachaguliwi bali ANAPITISHWA.
 
wake up call kwa chama chake kurekebisha nyufa? zipi?
Kwan yeye ni nani kwenye hicho chama ?

nani huyo aliefanya kosa ili aweze kupewa nafasi ya pili kujisahihisha?🐒

hili limesemwa sana lakini linapuuzwa na washupaza shingo chamani hapo.

fukuto na vita baridi baina ya chairman na vice chairman pale chadema will end up with political casualties miongni mwa waandamizi na wanachama, kama hatua muhimu na muafaka za makusudi zisipochukuliwa mapema kutuliza mambo na hali ya joto la siasa ndani ya chama isiyo na afya kwa ustawi wa demokrasia nchini...

mpaka sasa mgawanyiko na mpasuko ni dhahiri na mkubwa sana, kuna wako wanachama wanaunga mkono upande wa vice chairman ikiwa ni pamoja na wewe ndugu mtoa hoja, lakini pia wako wanaomuunga mkono chairman,

lakini wako wale ambao hawajachagua upande, ni wanyonge na wapweke sana, wapo kama yatima wana shangaa shangaa tu na hawajui la kufanya, baadhi yao wameanza kutimkia vyama vingine, na wengine wanatafakari cha kufanya..

vice chairman ameonyesha udhaifu mkubwa sana kiuongozi kama sio amechoka kuishi chadema na sasa ameamua kuihujumu tu,

ni kama vile yeye ni kiongozi wa nje ya chama, asie na uwezo wa kushauri, kuagiza na kupendeza kusitisha vikao vya ndani ya chama na kupendeza hatua za kuchukua dhidi ya yale ambayo ameona si sawa, mfano rushwa ndani ya chama chake n.k

ni kama vile lisu anamuogopa na kumuonea aibu chairman wake 🐒

Mimi siô CHADEMA nikuweke Sawa pale uliposema wanachama Wengine wàpo na LISU nikiwepo Mimi. Siô kwèli

Sidhani kama Lisu anamuogopa Mwenyekiti wake, au anaiogopa CHADEMA. Yeye anachofanya NI sehemu ya Sera za CHADEMA àmbayo Mojawapo ni Demokrasia, Haki ya Mtu kujieleza na Kutoa maonî yake.

Mgawanyiko siô Mkubwa kihivyo ila ni namna ya Watu kuwekana Sawa ili mambo Yaende.
Msuguano ndîo huleta mwendo
 
Hakuma chama kisicho na Demokrasia kama CCM, ati 2025 form ni MOJA ya Urais - why?

Afu Rais LAZIMA awe mwenyekiti wa chama - why? Kwani chama hakina watu wengine ili Rais abakie na madarakanyake ya kuongoza Dola.

Afu Mwenyekiti hachaguliwi bali ANAPITISHWA.

😀😀

Lakini CCM siô Chama cha Demokrasia, jina lake lenyewe NI Chama cha Mapinduzi,
 
Huu utamaduni aliuanzisha Nyerere huko CCM na vyama vyote vimeuchukua na kuishi. Wenyekiti wa vyama wanajiona Mungu watu na hizi tabia zitaletwa hadi Serikalini. Kuna haja ya katiba mpya kupunguza nguvu za viongozi kwenye kila sekta ya umma ikiwemo vyama vya kisiasa.
Sahihi
 
Kadiri Miaka inavyoenda Hali hiyo itaondoka tuu íwe kwa Katiba au vinginevyo. Kwa sababu ukweli unakawaida ya kuushinda uongo hata kama Kwa kuchelewa
 
Mimi siô CHADEMA nikuweke Sawa pale uliposema wanachama Wengine wàpo na LISU nikiwepo Mimi. Siô kwèli

Sidhani kama Lisu anamuogopa Mwenyekiti wake, au anaiogopa CHADEMA. Yeye anachofanya NI sehemu ya Sera za CHADEMA àmbayo Mojawapo ni Demokrasia, Haki ya Mtu kujieleza na Kutoa maonî yake.

Mgawanyiko siô Mkubwa kihivyo ila ni namna ya Watu kuwekana Sawa ili mambo Yaende.
Msuguano ndîo huleta mwendo
Tundu Lissu Yuko very clear , aheshimiwe
 
TUNDU LISU YUPO SAHIHI, TUNAPINGA UMUNGU MTU NDÀNI YA VYAMA VYETU SIÔ CHADEMA TUU BALI HATA CCM.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Watu aina ya LISSU wàpo vyama vyote sio CHADEMA tuu, wàpo Mpaka CCM na vyama vingine vidogo.

Ndàni ya nchi yetu kûna tatizo la umungu Mtu, umungu taasisi, Jambo ambalo ni baya Kwa Taífa.

Sisi Watibeli tunatumia Kanuni isemayo, usitumie Mawe mawili kupimia. Kwa sababu hiyo siô HAKI

Siô Kwa sababu wewe NI CHADEMA unayepinga ufisadi au Rushwa au Jambo lolote ovu Kwa Wengine lakini CHADEMA wakifanya hivyo ati ukae kimya Kisa NI wenzako au ndugu zako wamefanya hayo. Huo NI ushetani. Hiyo siô HAKI.

Kipimo unachotumia kuwapimia Wengine kwèñye maovu tumia kipimo hichohicho kujipimia wewe mwenyewe Siku ukifanya Kosa hilohilo.

Unafiki ni Sifa ya Walaghai, waongo, matapeli na Mashetani.

Lisu yupo Sahihi Kabisa, na Sisi Watibeli tunamuunga Mkono. Watu wa Haki na kweli waliopo CCM, CHADEMA, ACT na vyama vingine wote tunamuunga Mkono.

Sisi siô wale ambao tunaacha kutenda Haki au kusema Ukweli Kwa sababu ya kumnyenyekea Mtu Fulani Kisa atupe cheo au wadhfa fulani.

Íwe ni Mzazi, íwe ni Mtoto, íwe ni Mimi, íwe ni Mfalme, íwe NI Rais, íwe ni Kiongozi wa Dini, íwe NI mtu yeyote Yule lazima aambiwe ukweli kama anakosea, lazima Haki itendeke.

Kitendo cha kushindwa kusema kweli na kutenda Haki kisa Fulani ni Mzazi wako, au NI ndugu yako, au NI wewe au Mimi, au NI Kiongozi wako WA kidini au wakisiasa au Kiongozi yeyote NI dalili ya Kuwa wewe hufai Kuongoza Wengine, wewe sio muadilifu.

Imekuwa desturi ndàni ya nchi yetu na nafikiri nchi nyingi Duniani.
Unakuta Mwanaccm anauwezo WA kuongea ukweli wa Mabaya ya Watu Wengine yani maovu ya vyama vingine lakini maovu ya Chama chake hawezi. Huo ni UNAFIKI na siô uadilifu hata kidôgo.

Hivyohivyo Kwa CHADEMA waô Kwao NI Sawa wakitamka Rushwa za Wengine, lakini akitokea Mtu ndàni ya Chama Chao akitamka uozo wa Chama chake anaonekana Mbaya. Hii ni nini ndugu zanguni.

Kama Taífa tunahitaji matengenezo Makubwa Sana ya Mtu mmojammoja, matengenezo ya kifamilia, matengenezo ya taasisi za Umma na Taífa Kwa ujumla.

Kunyamazia uovu wa Baba au Mama yako ni kumuunga Mkono.
Kunyamazia uovu wa Kiongozi wako NI kumuunga Mkono yani kushiriki uovu huo.
Kunyamazia uovu wa Dini yako ati Kisa unaabudu katika Dini hiyo NI kushiriki katika uovu huo.
Kunyamazia maovu ya Chama Chako NI kumaanisha wewe nawe NI muovu NI vile umekosa nafasi.

Huwezi pata mabadiliko Kwa Watu wanaonyamazia maovu ya Watu waliokaribu yao.

Kikanuni, kuficha maovu ya my Mwingine NI kuficha maovu yako.
Kwamba Kwa vile nawe unamaovu basi huwezi semà maovu ya Mtu Mwingine kwani maovu Yao nayo yatawekwa wazi.

NI kwèli kîla Mtu anaubaya Fulani lakini ili ubaya wetu uondoke lazima tuamue kuwa Sasa ubaya Basi. HAKI íwe chaguo letu. Kwèli ituongoze. Upendo úwe Nguzo yetu. Na Maarifa yatushikilie.

Haya, unasikia oooh! Mimi nilikipigania Chama, sijui jina langu kûbwa, sijui nilikuweka Hapo. Ooh! Tulipigania Taífa sijui Baba yàngu alitumikia nchi. Sawa Kwa nini nawe usifanye Mema kama Mzee wako.
Au Kúpigania nchi au Chama ndîo íwe kisingizio cha kutaka kufanya maovu au uhalifu na usitake kuambiwa ukweli na kupewa HAKI yako?

Yàani usigusike Kwa maovu kisa ulipigania Chama sijui Taífa, au ati umetumikia nafasi Fulani kûbwa. Hiyo siô Haki.

Ûtawala Bora hauwezi ikaja kwèñye nchi hii kama Watu watakuwa na mtazamo wa Mawe mawili ya kupimia.
Yàani huyu NI CCM mwenzao wanam-treat tofauti na asiye CCM Kwa Jambo lilelile. Au huyu NI CHADEMA mwenzao wanam-treat tofauti na asiye CHADEMA Kwa Jambo lilelile.
Huo NI umungu Mtu au umungu taasisi.

Tunahitaji usalama wa Taífa ambao hawana Mawe mawili ya kupimia.
Tunahitaji JWTZ na Polisi na Vyombo vyote vya Dola àmbavyo vinatenda HAKI.
Tunahitaji viongozi wa Dini na wakisiasa àmbao ukweli na Haki hawamung'unyi maneno.
Tunahitaji mawakili, majaji na mahakimu wanaopenda Haki na kuitenda.

Tunahitaji Wazazi àmbao ni waadilifu WANAOPENDA Haki na kuitenda.
Mambo ya Mzazi hakosei dhana ya kishetani na umungu Mtu. Na hiyohiyo ndîo imekua na kufikia level ya kitaifa kuwa ukiwa Kiongozi hukosei na hupaswi kuambiwa ukweli. Hizô Fikra za kidhulma.

Mfumo huo siô salama hata kidôgo Kwa sababu ni mfumo wa kishetani (kihalifu).
Anatekwa au anauawa Mtu Kwa vile siô Mtoto wako unakaa kimya. Anadhulumiwa Mtu Mwingine Kwa vile Huna uhûsiano naye unakaa kimya. Tafsiri yake nawe ni mdhulumaji.

Kama Taífa tunahitaji matengenezo. Ûtawala Bora NI pàmoja na kutokuwa na mawe mawili ya kupimia.

Nawatakia maandalizi mema ya Sabato

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Wakati familia inajinyima kuanzisha Chadema, Lissu alikuwa analima alizeti huko Singida
 
Mimi siô CHADEMA nikuweke Sawa pale uliposema wanachama Wengine wàpo na LISU nikiwepo Mimi. Siô kwèli

Sidhani kama Lisu anamuogopa Mwenyekiti wake, au anaiogopa CHADEMA. Yeye anachofanya NI sehemu ya Sera za CHADEMA àmbayo Mojawapo ni Demokrasia, Haki ya Mtu kujieleza na Kutoa maonî yake.

Mgawanyiko siô Mkubwa kihivyo ila ni namna ya Watu kuwekana Sawa ili mambo Yaende.
Msuguano ndîo huleta mwendo
mwanachama alalamike na kujieleza nje ya uongozi wa chama mtaani, na kiongozi nae analalamika na kujieleza nje ya chama bila hatua wala suluhisho la kinacholalamikiwa, which is which sasa?🐒

nani anamuongoza nani sasa..

au ndio ile pwagu na pwaguzi wana ongozana na kati yao hakuna anaejua wanaenda wap?

nadhani mpina asingekua mzushi, angekua anamzidi lisu ujasiri na uthubutu mara elfu moja 🐒

maana Lisu ni muoga zaidi ya Hamas kwa Israel lakini anabweka bweka balaa🐒
 
Kwèñye nchi hii Lisu yupo top 3 ya Watu Jasiri.
Hilo lilionekana Enzi za JPM
 
TUNDU LISU YUPO SAHIHI, TUNAPINGA UMUNGU MTU NDÀNI YA VYAMA VYETU SIÔ CHADEMA TUU BALI HATA CCM.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Watu aina ya LISSU wàpo vyama vyote sio CHADEMA tuu, wàpo Mpaka CCM na vyama vingine vidogo.

Ndàni ya nchi yetu kûna tatizo la umungu Mtu, umungu taasisi, Jambo ambalo ni baya Kwa Taífa.

Sisi Watibeli tunatumia Kanuni isemayo, usitumie Mawe mawili kupimia. Kwa sababu hiyo siô HAKI

Siô Kwa sababu wewe NI CHADEMA unayepinga ufisadi au Rushwa au Jambo lolote ovu Kwa Wengine lakini CHADEMA wakifanya hivyo ati ukae kimya Kisa NI wenzako au ndugu zako wamefanya hayo. Huo NI ushetani. Hiyo siô HAKI.

Kipimo unachotumia kuwapimia Wengine kwèñye maovu tumia kipimo hichohicho kujipimia wewe mwenyewe Siku ukifanya Kosa hilohilo.

Unafiki ni Sifa ya Walaghai, waongo, matapeli na Mashetani.

Lisu yupo Sahihi Kabisa, na Sisi Watibeli tunamuunga Mkono. Watu wa Haki na kweli waliopo CCM, CHADEMA, ACT na vyama vingine wote tunamuunga Mkono.

Sisi siô wale ambao tunaacha kutenda Haki au kusema Ukweli Kwa sababu ya kumnyenyekea Mtu Fulani Kisa atupe cheo au wadhfa fulani.

Íwe ni Mzazi, íwe ni Mtoto, íwe ni Mimi, íwe ni Mfalme, íwe NI Rais, íwe ni Kiongozi wa Dini, íwe NI mtu yeyote Yule lazima aambiwe ukweli kama anakosea, lazima Haki itendeke.

Kitendo cha kushindwa kusema kweli na kutenda Haki kisa Fulani ni Mzazi wako, au NI ndugu yako, au NI wewe au Mimi, au NI Kiongozi wako WA kidini au wakisiasa au Kiongozi yeyote NI dalili ya Kuwa wewe hufai Kuongoza Wengine, wewe sio muadilifu.

Imekuwa desturi ndàni ya nchi yetu na nafikiri nchi nyingi Duniani.
Unakuta Mwanaccm anauwezo WA kuongea ukweli wa Mabaya ya Watu Wengine yani maovu ya vyama vingine lakini maovu ya Chama chake hawezi. Huo ni UNAFIKI na siô uadilifu hata kidôgo.

Hivyohivyo Kwa CHADEMA waô Kwao NI Sawa wakitamka Rushwa za Wengine, lakini akitokea Mtu ndàni ya Chama Chao akitamka uozo wa Chama chake anaonekana Mbaya. Hii ni nini ndugu zanguni.

Kama Taífa tunahitaji matengenezo Makubwa Sana ya Mtu mmojammoja, matengenezo ya kifamilia, matengenezo ya taasisi za Umma na Taífa Kwa ujumla.

Kunyamazia uovu wa Baba au Mama yako ni kumuunga Mkono.
Kunyamazia uovu wa Kiongozi wako NI kumuunga Mkono yani kushiriki uovu huo.
Kunyamazia uovu wa Dini yako ati Kisa unaabudu katika Dini hiyo NI kushiriki katika uovu huo.
Kunyamazia maovu ya Chama Chako NI kumaanisha wewe nawe NI muovu NI vile umekosa nafasi.

Huwezi pata mabadiliko Kwa Watu wanaonyamazia maovu ya Watu waliokaribu yao.

Kikanuni, kuficha maovu ya my Mwingine NI kuficha maovu yako.
Kwamba Kwa vile nawe unamaovu basi huwezi semà maovu ya Mtu Mwingine kwani maovu Yao nayo yatawekwa wazi.

NI kwèli kîla Mtu anaubaya Fulani lakini ili ubaya wetu uondoke lazima tuamue kuwa Sasa ubaya Basi. HAKI íwe chaguo letu. Kwèli ituongoze. Upendo úwe Nguzo yetu. Na Maarifa yatushikilie.

Haya, unasikia oooh! Mimi nilikipigania Chama, sijui jina langu kûbwa, sijui nilikuweka Hapo. Ooh! Tulipigania Taífa sijui Baba yàngu alitumikia nchi. Sawa Kwa nini nawe usifanye Mema kama Mzee wako.
Au Kúpigania nchi au Chama ndîo íwe kisingizio cha kutaka kufanya maovu au uhalifu na usitake kuambiwa ukweli na kupewa HAKI yako?

Yàani usigusike Kwa maovu kisa ulipigania Chama sijui Taífa, au ati umetumikia nafasi Fulani kûbwa. Hiyo siô Haki.

Ûtawala Bora hauwezi ikaja kwèñye nchi hii kama Watu watakuwa na mtazamo wa Mawe mawili ya kupimia.
Yàani huyu NI CCM mwenzao wanam-treat tofauti na asiye CCM Kwa Jambo lilelile. Au huyu NI CHADEMA mwenzao wanam-treat tofauti na asiye CHADEMA Kwa Jambo lilelile.
Huo NI umungu Mtu au umungu taasisi.

Tunahitaji usalama wa Taífa ambao hawana Mawe mawili ya kupimia.
Tunahitaji JWTZ na Polisi na Vyombo vyote vya Dola àmbavyo vinatenda HAKI.
Tunahitaji viongozi wa Dini na wakisiasa àmbao ukweli na Haki hawamung'unyi maneno.
Tunahitaji mawakili, majaji na mahakimu wanaopenda Haki na kuitenda.

Tunahitaji Wazazi àmbao ni waadilifu WANAOPENDA Haki na kuitenda.
Mambo ya Mzazi hakosei dhana ya kishetani na umungu Mtu. Na hiyohiyo ndîo imekua na kufikia level ya kitaifa kuwa ukiwa Kiongozi hukosei na hupaswi kuambiwa ukweli. Hizô Fikra za kidhulma.

Mfumo huo siô salama hata kidôgo Kwa sababu ni mfumo wa kishetani (kihalifu).
Anatekwa au anauawa Mtu Kwa vile siô Mtoto wako unakaa kimya. Anadhulumiwa Mtu Mwingine Kwa vile Huna uhûsiano naye unakaa kimya. Tafsiri yake nawe ni mdhulumaji.

Kama Taífa tunahitaji matengenezo. Ûtawala Bora NI pàmoja na kutokuwa na mawe mawili ya kupimia.

Nawatakia maandalizi mema ya Sabato

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Tundu Lissu yupo sahihi sana. Tatizo Wachaga hawataki kuguswa kwenye miradi yao japo inatumia fedha za umma
 
mwanachama alalamike na kujieleza nje ya uongozi wa chama mtaani, na kiongozi nae analalamika na kujieleza nje ya chama bila hatua wala suluhisho la kinacholalamikiwa, which is which sasa?🐒

nani anamuongoza nani sasa..

au ndio ile pwagu na pwaguzi wana ongozana na kati yao hakuna anaejua wanaenda wap?

nadhani mpina asingekua mzushi, angekua anamzidi lisu ujasiri na uthubutu mara elfu moja 🐒

maana Lisu ni muoga zaidi ya Hamas kwa Israel lakini anabweka bweka balaa🐒
Ulitaka afanyaje kama Mbowe haambiliki ndani ya chama? Hujui yaliyomkuta Chacha Wangwe?
 
so gentleman,
are you confirming to the entire public kwamba kuna Tatizo zito ndani ya chadema, right?🐒
 
Back
Top Bottom