Tundu Lissu yupo sahihi, tunapinga umungu mtu ndani ya vyama vyetu sio CHADEMA tu bali hata CCM

Hakuma chama kisicho na Demokrasia kama CCM, ati 2025 form ni MOJA ya Urais - why?

Afu Rais LAZIMA awe mwenyekiti wa chama - why? Kwani chama hakina watu wengine ili Rais abakie na madarakanyake ya kuongoza Dola.

Afu Mwenyekiti hachaguliwi bali ANAPITISHWA.
 

Mimi siô CHADEMA nikuweke Sawa pale uliposema wanachama Wengine wàpo na LISU nikiwepo Mimi. Siô kwèli

Sidhani kama Lisu anamuogopa Mwenyekiti wake, au anaiogopa CHADEMA. Yeye anachofanya NI sehemu ya Sera za CHADEMA àmbayo Mojawapo ni Demokrasia, Haki ya Mtu kujieleza na Kutoa maonî yake.

Mgawanyiko siô Mkubwa kihivyo ila ni namna ya Watu kuwekana Sawa ili mambo Yaende.
Msuguano ndîo huleta mwendo
 

😀😀

Lakini CCM siô Chama cha Demokrasia, jina lake lenyewe NI Chama cha Mapinduzi,
 
Sahihi
 

Kadiri Miaka inavyoenda Hali hiyo itaondoka tuu íwe kwa Katiba au vinginevyo. Kwa sababu ukweli unakawaida ya kuushinda uongo hata kama Kwa kuchelewa
 
Tundu Lissu Yuko very clear , aheshimiwe
 
Wakati familia inajinyima kuanzisha Chadema, Lissu alikuwa analima alizeti huko Singida
 
mwanachama alalamike na kujieleza nje ya uongozi wa chama mtaani, na kiongozi nae analalamika na kujieleza nje ya chama bila hatua wala suluhisho la kinacholalamikiwa, which is which sasa?🐒

nani anamuongoza nani sasa..

au ndio ile pwagu na pwaguzi wana ongozana na kati yao hakuna anaejua wanaenda wap?

nadhani mpina asingekua mzushi, angekua anamzidi lisu ujasiri na uthubutu mara elfu moja 🐒

maana Lisu ni muoga zaidi ya Hamas kwa Israel lakini anabweka bweka balaa🐒
 

Kwèñye nchi hii Lisu yupo top 3 ya Watu Jasiri.
Hilo lilionekana Enzi za JPM
 
Tundu Lissu yupo sahihi sana. Tatizo Wachaga hawataki kuguswa kwenye miradi yao japo inatumia fedha za umma
 
Ulitaka afanyaje kama Mbowe haambiliki ndani ya chama? Hujui yaliyomkuta Chacha Wangwe?
 
Ulitaka afanyaje kama Mbowe haambiliki ndani ya chama? Hujui yaliyomkuta Chacha Wangwe?
so gentleman,
are you confirming to the entire public kwamba kuna Tatizo zito ndani ya chadema, right?🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…