Tundu Lissu, Zitto Kabwe, John Heche , Ado Shaibu , John Mnyika mwangalieni sana huyu Kafulila is an Opposion Silent Killer

Mbangaizaji wa Taifa

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
493
Reaction score
844
Kama kuna kijana wa hovyo na asiye na fadhila hata kidogo aliyetoka Upinzani na anafanya kila juhudi kuumaliza Upinzani huo ambao ndio umemkuzà na kumlea na kumfanya awe alivyo leo ni huyu Kafulila wa sasa.

Eti leo hoja kubwa kubwa za Upinzani kama ukuaji wa deni la Taifa, Ubinafshaji wa Bandari na mengineyo huyu jamaa amekuwa akizieleza kwa data na mifano Sasa hata hatujui kama ni Kweli au ni data za kubumba tu lakini Upinzani tuko ziiii kwanini hatumjibu au hatuwezi au anayoyasema ni ya kweli?

Kama hamjui huyu Bwana ni mtu hatari kuliko akina Makalla na Wassira na kwakuwa yeye anafanya haya kwa maelekezo ya CCM na Samia na anayafanya kwa ustadi sana wewe jaribu kufuatilia tu maandiko yake humu utaona upotoshaji wake utaelewa nachosema.

Inauma kuona Kafulila anatamba tu na hoja humu bila kukabiliwa na yoyote labda kidogo Mpina na Job Ndugai lakini hata hivyo wote hawa ni watu wa CCM Upinzani tuko wapi?

Nashauri wachambuzi nguli wa Uchumi kama akina Zitto Kabwe, Ruge au Ambokile wa CHADEMA waje na majibu kwa hoja za huyu jamaa kwani anapenyeza agenda zake kwa umakini mkubwa na anafanya kimya kimya.

Makamanda tuendelee kuchangia chama hatuna mjomba Wala shangazi wa kutushika mkono.


 
Kama Kuna watu Upinzani tulipoteza basi ni Kafulila na Wassira huna nasema mara zote hawa watu wanahoja zenye nguvu Upinzani lazima kuwa na watu makini zaidi kuwakabili
 
Kafulila ndio maana Jesca alimkimbia kwa uchawa wake kwa Samia
 

Kwa Mtu yoyote yule mwenye uelewa mkubwa sana au mwenye Akili nzuri, kamwe hawezi kujaribu kuanza kulumbana na Watu wenye muono mfupi (a short-sighgted mind person) kama David Kafulila, Paul Makonda au Mzee Stephen Wasira. Itakuwa ni Matumizi mabaya Sana ya akili.
 
Umemsahau pr nguli,Lipumba!Aje na uchambuzi makini.
 
Hakuna mwenye pressure na tumbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…