much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Kafulila ana hoja gani zaidi ya kelele?Kama Kuna watu Upinzani tulipoteza basi ni Kafulila na Wassira huna nasema mara zote hawa watu wanahoja zenye nguvu Upinzani lazima kuwa na watu makini zaidi kuwakabili