Tundu Lissu, Zitto Kabwe, John Heche , Ado Shaibu , John Mnyika mwangalieni sana huyu Kafulila is an Opposion Silent Killer

Tatizo Wapinzani wamezoea Siasa majitaka when comes Siasa ya issues wanakimbia wote ndio maana Kafulila hajibiki
 
Kitakachomshinda ni pale yale anayosema yatatekelezwa, yasipotekelezwa.

Kwa mfano,amesema mabasi mapya ya mwendo kazi yataanza kufanya kazi mwezi Machi 2025.Lakini hadi sasa hata mabasi yenyewe hayajafika.

Alisema Barabara ya Kibaha Morogoro litapanuliwa kwa mfumo wa PPP,lakini hakuna kinachoendelea.

Ni kweli Kafulila ana uwezo mzuri wa kujenga hoja.Lakini inaonekana umahili wake huo hauendani na utekelezaji wa kile anachoongea.
 
Yule ni Mzee wa Matamko tu
 
Kafulila una attention seeking disorder. Tangu mwaka huu uanze unahakikisha kila siku unapost inayokuhusu kwenye jukwaa hili. Shtuka, watu wamekupuuza. Msaidie mheshimiwa rais huko uliko aminiwa waache wanasiasa waendelee kubishana. Fanya kazi.
Na huku Uvinza usijisumbue kurudi.
 
Kwa hiyo Mimi ni Kafulira?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…