much know JF-Expert Member Joined Oct 22, 2017 Posts 11,461 Reaction score 17,183 Mar 3, 2025 #61 Rula ya Mafisadi said: Kama Kuna watu Upinzani tulipoteza basi ni Kafulila na Wassira huna nasema mara zote hawa watu wanahoja zenye nguvu Upinzani lazima kuwa na watu makini zaidi kuwakabili Click to expand... Kafulila ana hoja gani zaidi ya kelele?
Rula ya Mafisadi said: Kama Kuna watu Upinzani tulipoteza basi ni Kafulila na Wassira huna nasema mara zote hawa watu wanahoja zenye nguvu Upinzani lazima kuwa na watu makini zaidi kuwakabili Click to expand... Kafulila ana hoja gani zaidi ya kelele?
A Allency JF-Expert Member Joined Jan 27, 2011 Posts 14,830 Reaction score 14,472 Mar 3, 2025 #62 air commander said: Tatizo Wapinzani wamezoea Siasa majitaka when comes Siasa ya issues wanakimbia wote ndio maana Kafulila hajibiki Click to expand... Mbona kama wewe na huyo 2mbili ni mapacha!
air commander said: Tatizo Wapinzani wamezoea Siasa majitaka when comes Siasa ya issues wanakimbia wote ndio maana Kafulila hajibiki Click to expand... Mbona kama wewe na huyo 2mbili ni mapacha!
M Mbangaizaji wa Taifa JF-Expert Member Joined Dec 25, 2024 Posts 493 Reaction score 844 Mar 13, 2025 Thread starter #63 NewChapter said: Wakupambana na Kafulila labda Zitto kidogo hao wengine mabwabwaja tu Click to expand... Acha kuzurulisha hoja zako sasa
NewChapter said: Wakupambana na Kafulila labda Zitto kidogo hao wengine mabwabwaja tu Click to expand... Acha kuzurulisha hoja zako sasa
M MwajabuOmary JF-Expert Member Joined Jul 11, 2013 Posts 384 Reaction score 418 Mar 13, 2025 #64 Amekwishapuuziwa kitambo, talaka sio mchezo