Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Siku yakimkuta mama yako mzazi ndio itaeleweka kama shetani ana rafiki au la .Sijawahi kuwaonea huruma wahalifu
Mama yangu sio mjinga, mama yangu sio ngazi ya mwanasiasa yoyoteSiku yakimkuta mama yako mzazi ndio itaeleweka kama shetani ana rafiki au la .
what goes around comes around
unaweza kudhani uko salama kwa miaka 5 au hata 10 ? lakini tambua kwamba Mungu siyo falaNa hawakuagizwa kufanya ujinga!
Endelea na upuuzi wako , siku hazigandiMama yangu sio mjinga, mama yangu sio ngazi ya mwanasiasa yoyote
Wewe ndio mpuuzi, una kazi kubwa sana ya kutetea wahalifu. Hata hivyo asubiri kuvuna alichopanda, si anasemaga kuwa yeye ni kamanda?Endelea na upuuzi wako , siku hazigandi
huna ushahidi wala hutaweza kuthibitishaSi ndiyo walioua yule kijana akamuacha mke na mtoto mdogo pale Tunduma? Acha sheria ichukue mkondo wake na wakipatikana na hatia wanyonge mapema sana!
Wahalifu mbona wengine wako Magogoni na Chamwino?Sijawahi kuwaonea huruma wahalifu
siku zote anayeshikiwa akili huwa hajitambuiWewe ndio mpuuzi, una kazi kubwa sana ya kutetea wahalifu. Hata hivyo asubiri kuvuna alichopanda, si anasemaga kuwa yeye ni kamanda?
We si ndio umeshikiwa, umegeuzwa ngazisiku zote anayeshikiwa akili huwa hajitambui