Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
- #81
Dunia isisahau unyama huu inaotendewa Chadema
Kila ubaya utalipwa tuUtawala wa CCM una uonevu sana...sijui huwa wanakwenda makanisani na misikitini kufanya nini - huku ni kumdhihaki Mwenyezi Mungu.
Ni vizuri kutoa taarifa kama ulivyofanya hapa, lakini nadhani kama chama CHADEMA bado mnaonyesha kutokuwa na umakini sana juu ya mambo kama haya.View attachment 1653402
Aliyekuwa Meya wa Tunduma kupitia Chadema Mh. Ally Mwafongo alikamatwa na Polisi kwa tuhuma za kutengenezwa kiwandani za mauaji kabla ya uchaguzi na kuwekwa selo yeye na viongozi wengine lundo wa Chadema , lengo la unyama huo lilikuwa kumzuia kugombea tena udiwani ili kuirahisishia ccm ushindi .
Mwafongo pamoja na lundo la viongozi wa Chadema leo wanatimiza siku 143 gerezani kwa tuhuma za uongo kwa sababu za kisiasa , kwa vile Mungu si Athumani basi tunaamini Mwafongo na wenzake wataachiwa huru na kila aliyeshiriki kutenda unyama huu wa kishamba atalipwa kwa kiasi kile kile alichotenda .
Leo kuna watu nchi hii wanataka tufanye maridhiano na watu wenye roho za kishetani namna hii , hili jambo haliwezekani hata kwa mtutu wa bunduki .
Mungu ibariki Chadema
Ikumbukwe kwamba kila ubaya utalipwa
Siku yakimkuta mama yako mzazi ndio itaeleweka kama shetani ana rafiki au la .
what goes around comes around
HakikaKarma is real...watalipwa wao na watoto wao uovu wao.