Tunduma: Ally Mwafongo na wenzake 57 watimiza siku 143 Gerezani

Tunduma: Ally Mwafongo na wenzake 57 watimiza siku 143 Gerezani

Wewe ndio mpuuzi, una kazi kubwa sana ya kutetea wahalifu. Hata hivyo asubiri kuvuna alichopanda, si anasemaga kuwa yeye ni kamanda?
Wengine bado wanañufaika na maovu wanayotetea ,siku manufaa yakikoma utawaona wanarudi jukwaani wakilia Lia,Susi tunaweka kumbukumbu tu.
 
View attachment 1653402

Aliyekuwa Meya wa Tunduma kupitia Chadema Mh. Ally Mwafongo alikamatwa na Polisi kwa tuhuma za kutengenezwa kiwandani za mauaji kabla ya uchaguzi na kuwekwa selo yeye na viongozi wengine lundo wa Chadema , lengo la unyama huo lilikuwa kumzuia kugombea tena udiwani ili kuirahisishia ccm ushindi .

Mwafongo pamoja na lundo la viongozi wa Chadema leo wanatimiza siku 143 gerezani kwa tuhuma za uongo kwa sababu za kisiasa , kwa vile Mungu si Athumani basi tunaamini Mwafongo na wenzake wataachiwa huru na kila aliyeshiriki kutenda unyama huu wa kishamba atalipwa kwa kiasi kile kile alichotenda .

Leo kuna watu nchi hii wanataka tufanye maridhiano na watu wenye roho za kishetani namna hii , hili jambo haliwezekani hata kwa mtutu wa bunduki .

Mungu ibariki Chadema
Walisingiziwa vipi? Toa maelezo ya kutosha vinginevyo ni kama unapayuka tu.
 
Bahati nzuri mazingira ya mkoa mpya wa Songwe na Tunduma siyo mgeni.....kwahiyo ninachokwambia nakifahamu kiasi fulani.......chamsingi note tu kwamba vijana tusifuate bendera tu kama mazezeta........wanasiasa wanatutumia sana kama ngazi......
Hapa umemgusa kunako.
 
Magufuli ni shetani sasa kuwaweka vijana wa Watu siku 143 bila kuwapeleka mahakamani kutamuongezea siku za kuishi yaani huyu mrundi kikwete alikomtoa basi tu
 
Mwafongo pamoja na lundo la viongozi wa Chadema leo wanatimiza siku 143 gerezani kwa tuhuma za uongo kwa sababu za kisiasa , kwa vile Mungu si Athumani basi tunaamini Mwafongo na wenzake wataachiwa huru na kila aliyeshiriki kutenda unyama huu wa kishamba atalipwa kwa kiasi kile kile alichotenda .
Tatizo la CHADEMA litakuwa ni moja tu. Kusahahu na kutoweka ushahidi kamili kwenye kumbukumbu juu ya maonezi kama haya.

Haya ni mambo ya kutesa watu maksudi, ni uhalifu unaotakiwa kulipiwa haki wakati mwafaka. Hawa viongozi watesi wa watu hawatakuwepo madarakani milele. Wakati wao ukifika ni lazima wayalipie kikamilifu maovu waliyowatendea waTanzania.
 
Chadema imerekodi na kuhifadhi hadi nje ya nchi kila unyama uliotendwa
 
Kabla ya mauti mtu atalipwa tuuu
Nikikumbuka mlivyokuwa mnamlaani JK,najuwa ni suala la muda......atakayefuata baada ya Magu naye atakuwa na mazuri na mabaya yake.....ila Magu hatosahaulika kirahisi.
Hizi lawama na kudhani mnaonewa....poleni.
 
huna ushahidi wala hutaweza kuthibitisha
Kesi iko mahakamani na ni ya mauaji. Kuwa na subira. Mambo ya ushahidi na kuthibitisha ni ya mahakama. Mahakama ikithibitisha adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa labda rais awape huruma ya kufungwa maisha.
 
Back
Top Bottom