Tunduma: Ally Mwafongo na wenzake 57 watimiza siku 143 Gerezani

Alafu utasikia mtu anakwambia kiongozi flan anataka kufikisha tz iwe Kama singapole,how it can in this situations
Tuna washauri wa rais ambao naweza sema mungu anawaona hawaitendei haki nafasi yao, iko ivi ccm ipo pale sio kwamba unapendwa na watanzania wote ,wapo waipendao na wapo wasio penda kujisikia, so ccm Kama chama kilicho madarakani mnatakiwa kuacha Mara moja hizi drama , kwamba leo ni mwezi wa 12 na chama chenu kiko madarakani bado wadau na viongozi wa chadema wapo wanasota mahabusu tena KWA kesi zenye vihini ya siasa,serikali hacheni mchezo huu Mara moja,mnakumbusha machungu mengi KWA watanzania
Mwisho
HAKUNA MAENDELEO TZ BILA UMOJA DHABITI, na humoja wa taifa hauji Kama mvua bali unapaliliwa,
 
Hakuna meya wa wilayani huyo alikuwa mkit wa halmashauri tu bana usituchoshe
 
TL atakuja kuwatetea.
 
asante sana
 
Inasikitisha sana, halafu wanaLumumba wana kifua cha kuwahukumu watuhumiwa kuwa ni 'wahalifu'! Kabla hata ya watuhumiwa kuhukumiwa na Mahakama !
 
Unatetea watu wenye tuhuma za mauaji ? CDM mna unafiki na ubinafsi wa hali ya juu. Kaweka na tweet ya Kiingereza Twitter ili mabwana zenu waone mlivyo watupu.
Mbinafsi hata wewe unamjua. Yule aliyeamua kuvunja jengo ambalo ni mali ya umma (Billcanas) ili kumkomoa Mbowe kwa sababu ya chuki zake za kishamba, jengo ambalo lingeweza kuendelea kupangishwa kwa mpangaji mwingine na kuliingizia shirika mapato. Huyo ndiye mbinafsi na mhujumu uchumi ambaye alistahili kuwa gerezani muda huu.
 
Utakua umekalia kitu kigumu,unaskilizia raha huku unaropoka kama zuzu wa kongwa,shubamiiit
Zuzu wa kongwa!? Ahaaaaa, nimeshamjua. Ni yule mwenye faili pale Mirembe. Kichaa pekee duniani aliyepata bahati ya kuendesha bunge uchwara la chama kimoja.
 
kwahiyo tukusaidie nini mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…