Wengine bado wanañufaika na maovu wanayotetea ,siku manufaa yakikoma utawaona wanarudi jukwaani wakilia Lia,Susi tunaweka kumbukumbu tu.Wewe ndio mpuuzi, una kazi kubwa sana ya kutetea wahalifu. Hata hivyo asubiri kuvuna alichopanda, si anasemaga kuwa yeye ni kamanda?
Walisingiziwa vipi? Toa maelezo ya kutosha vinginevyo ni kama unapayuka tu.View attachment 1653402
Aliyekuwa Meya wa Tunduma kupitia Chadema Mh. Ally Mwafongo alikamatwa na Polisi kwa tuhuma za kutengenezwa kiwandani za mauaji kabla ya uchaguzi na kuwekwa selo yeye na viongozi wengine lundo wa Chadema , lengo la unyama huo lilikuwa kumzuia kugombea tena udiwani ili kuirahisishia ccm ushindi .
Mwafongo pamoja na lundo la viongozi wa Chadema leo wanatimiza siku 143 gerezani kwa tuhuma za uongo kwa sababu za kisiasa , kwa vile Mungu si Athumani basi tunaamini Mwafongo na wenzake wataachiwa huru na kila aliyeshiriki kutenda unyama huu wa kishamba atalipwa kwa kiasi kile kile alichotenda .
Leo kuna watu nchi hii wanataka tufanye maridhiano na watu wenye roho za kishetani namna hii , hili jambo haliwezekani hata kwa mtutu wa bunduki .
Mungu ibariki Chadema
Hapa umemgusa kunako.Bahati nzuri mazingira ya mkoa mpya wa Songwe na Tunduma siyo mgeni.....kwahiyo ninachokwambia nakifahamu kiasi fulani.......chamsingi note tu kwamba vijana tusifuate bendera tu kama mazezeta........wanasiasa wanatutumia sana kama ngazi......
Kwani huyo MWAFONGO sijui nani wewe ni mama yako mzazi?Siku yakimkuta mama yako mzazi ndio itaeleweka kama shetani ana rafiki au la .
what goes around comes around
huna loloteHapa umemgusa kunako.
Wasalimie GeitaKwani huyo MWAFONGO sijui nani wewe ni mama yako mzazi?
Acha ujinga wewe.
Ukweli ukiacha kusemwa hata mawe yaweza kusema.Kwani huyo MWAFONGO sijui nani wewe ni mama yako mzazi?
Acha ujinga wewe.
Zimefika.Wasalimie Geita
Halafu malaika ni nani?Magufuli ni shetani sasa kuwaweka vijana wa Watu siku 143 bila kuwapeleka mahakamani kutamuongezea siku za kuishi yaani huyu mrundi kikwete alikomtoa basi tu
Mama yangu sio mjinga, mama yangu sio ngazi ya mwanasiasa yoyote
Acheni kuwatumia mama zenu kwenye mambo ambayo hatahayawahusi. Jadilini bila kuwataja. Mama zetu hawahusiani na mijadala ya humu.Ila we ndo ngazi. Poa
😄😄😄huna lolote
Tatizo la CHADEMA litakuwa ni moja tu. Kusahahu na kutoweka ushahidi kamili kwenye kumbukumbu juu ya maonezi kama haya.Mwafongo pamoja na lundo la viongozi wa Chadema leo wanatimiza siku 143 gerezani kwa tuhuma za uongo kwa sababu za kisiasa , kwa vile Mungu si Athumani basi tunaamini Mwafongo na wenzake wataachiwa huru na kila aliyeshiriki kutenda unyama huu wa kishamba atalipwa kwa kiasi kile kile alichotenda .
Usijafaraguwe hapaHalafu malaika ni nani?
Chadema imerekodi na kuhifadhi hadi nje ya nchi kila unyama uliotendwaTatizo la CHADEMA litakuwa ni moja tu. Kusahahu na kutoweka ushahidi kamili kwenye kumbukumbu juu ya maonezi kama haya.
Haya ni mambo ya kutesa watu maksudi, ni uhalifu unaotakiwa kulipiwa haki wakati mwafaka. Hawa viongozi watesi wa watu hawatakuwepo madarakani milele. Wakati wao ukifika ni lazima wayalipie kikamilifu maovu waliyowatendea waTanzania.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chadema imerekodi na kuhifadhi hadi nje ya nchi kila unyama uliotendwa
Nikikumbuka mlivyokuwa mnamlaani JK,najuwa ni suala la muda......atakayefuata baada ya Magu naye atakuwa na mazuri na mabaya yake.....ila Magu hatosahaulika kirahisi.Kabla ya mauti mtu atalipwa tuuu
Kesi iko mahakamani na ni ya mauaji. Kuwa na subira. Mambo ya ushahidi na kuthibitisha ni ya mahakama. Mahakama ikithibitisha adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa labda rais awape huruma ya kufungwa maisha.huna ushahidi wala hutaweza kuthibitisha