Uchaguzi 2020 Tunduma hatutaki maji yenu! Kura zetu ni CHADEMA!

Uchaguzi 2020 Tunduma hatutaki maji yenu! Kura zetu ni CHADEMA!

SEMA WEWE NA FAMILIA YAKO MNAOSHINDA NA KULALA HUKO VIJIWENI. LAKINI SISI WENYEFAMILIA NA TAASISI HAPA TUNDUMA, KURA ZETU NI CCM KWAKUWA MAJI NI MUHIMU SAANA.

"Some People Are Alive Only Because It's Illegal to Kill Them! "

Kuna wachangiaji wanakera Sana...

Sasa Kama hao CCM walikuwa wana wathamini Watu kwann mpaka SILINDE achaguliwe ndio walete maji huo ndio ulaghai

TATIZO

KURA YA MJINGA NA MWEREVU ZOTE ZINA UZITO SAWA KWENYE SANDUKU LA KURA

Kwa leo ngoja Nishie hapa maana nisije Nika kufuru zaidi
 
Inje na uongo na matusi chama chenu ni bure kabisaaa.
 
Miaka mingi sana nyuma hapo kijiji cha chapwa jirani na tunduma kulikuwa na taabu kuu ya maji, kulikuwa na vijidimbwi vinatuama maji mnaenda chota halafu maji yenyewe yalikuwa meupe kama uji. Mnaamka alfajiri sana kuwahi foleni.

Kumbe shida ile bado ipo, poleni sana huko tunduma.
 
Back
Top Bottom