Uchaguzi 2020 Tunduma hatutaki maji yenu! Kura zetu ni CHADEMA!

Uchaguzi 2020 Tunduma hatutaki maji yenu! Kura zetu ni CHADEMA!

SEMA WEWE NA FAMILIA YAKO MNAOSHINDA NA KULALA HUKO VIJIWENI. LAKINI SISI WENYEFAMILIA NA TAASISI HAPA TUNDUMA, KURA ZETU NI CCM KWAKUWA MAJI NI MUHIMU SAANA.
Kwa hiyo majimbo yote ya SSM maji yanatiririka tu mabombani???!!
Yaani ni kwamba majimbo tu chadema na upinzani ndio hakuna maji.
 
Mkuu acha kupotosha umma wanaohangaika kwa ukosefu wa maji na akina mama wanao amuka sa8 za usiku kwenda kuteka maji siyo wewe mhuni unaeamkia vijiweni kupiga porojo.

Acha wananchi Tuchague maendeleo hivyo vyama vyenu msituhusishe navyo.
Amuka❎
Amka✅
 
Mkuu mlikuwa wapi kupeleka hayo maji?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
sasa unataka akuletee maji wewe ambae hukumchagua? ulie mchagua means manifesto yake umeikubali basi dai alivyokuahidi! unataka umchague mbunge wa chadema alaf unataka utimiziwe yaliyo ahidiwa na ccm unaakili au matope
Kwa sababu na kodi hakusanyi kwenye maeneo walioshinda wapinzani siyo?
 
.
Ndio hata Kama siyo Safi Ila uwezekano wa kuwa Safi ni mkubwa maana Kuna connection Kati ya Wananchi na mtoa pesa za miradi.

Wahenga walisema siku zote huwezi kushindana na Dora.
Hahahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ccm inaenda kufa mazima, Jiwe ajiandae kwenda Mahakamani

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Habari wangu?
Hivyi ulisikia wapi, Mtu anaomba kura kwa vitisho?? Wanatunduma wameishi miaka 60 bila Maji alafu Leo wanatishwa eti wasipomchagua silinde, hawatapata Maji! Who is silinde by the way????? Sisi ni watu wazima, huwezi kutupangia cha kufanya, ww subiri tu tarehe 28!!
Tatizo la magufuli hawajui watu wa Mbeya na Songwe??? Ndo tatizo la kupewa cheo kikubwa bila kujua historia ya nchi yako!!

Yaaani anategemea awatishe watu wa Mbeya na Songwe alafu wampe kura???? Atapata majibu yake hapo tarehe 28 October.

Hatopata hata kura moja yeye na huyo silinde wake na wabunge na madiwani wake!!! Watu wa kule wako radhi kufa masikini kuliko kupelekeshwa na mtu. Nawajua vizuri
 
Kwa hiyo majimbo yote ya SSM maji yanatiririka tu mabombani???!!
Yaani ni kwamba majimbo tu chadema na upinzani ndio hakuna maji.
Changamoto ya maji ni ulimwengu mzimaa. Kinachotakiwa ni kuendeleza Ku up date ongezeko la usambazaji wa maji kwani matumizi yamajii yanaongezeka kila siku, na hakuna siku yatakuja yaishee kabisaa. Kwa hiyo ccm utawala wake mzurii nikuendeleza kuongeza usambazaji wa maji kwenye maeneo husika kulingana na uhitaji wake. Tutaendelea kuichagua ccm kwakuwa inajali hitaji hili kwa umakini uliotukuka. Ila wapinzani munanongwaa.
 
Kwa hiyo ukichagua chadema hupati maji. Basi na hilo eneo husika kodi zisikusanywe maaana kodi ni kwa maendeleo.
 
Hamtaki wewe na nani? We jisemee hutaki kisha usubiri tarehe 28 Oktoba kama kuna wanaokuunga mkono kukataa maji na kichagua ushoga.
Mkuu hapa silinde atapata kura za aibu
 
Habari wangu?
Hivyi ulisikia wapi, Mtu anaomba kura kwa vitisho?? Wanatunduma wameishi miaka 60 bila Maji alafu Leo wanatishwa eti wasipomchagua silinde, hawatapata Maji! Who is silinde by the way????? Sisi ni watu wazima, huwezi kutupangia cha kufanya, ww subiri tu tarehe 28!!
Tunduma mmeshaamua.

Nyinyi na TL , TL na nyie
 
Back
Top Bottom