Miaka mingi sana nyuma hapo kijiji cha chapwa jirani na tunduma kulikuwa na taabu kuu ya maji, kulikuwa na vijidimbwi vinatuama maji mnaenda chota halafu maji yenyewe yalikuwa meupe kama uji. Mnaamka alfajiri sana kuwahi foleni.
Kumbe shida ile bado ipo, poleni sana huko tunduma.