Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Nchi na Nchi hapa Ulimwengu lazima ziwe na mlango wa kuingilia baina yao.
Mfano pale Tunduma Tanzania ndilo lango kuu la kuingia Zambia ukitokea Tanzania.
Vilevile Rusumo,huko Kagera ndilo lango kuu la Tanzania na Rwanda.
Tunduma,inasemekana ndilo lango linalindwa kwa gharama kubwa kupitia ujasusi!
Katika mji huo mdogo ulio na wingi wa mamia ya watu inasemekana Ulinzi wa eneo lile huwa ni changamoto kubwa kwa vyombo vya Ulinzi na Usalama kwa sababu ya muingiliano usiokoma na usio na masharti makubwa ya kuingia pande zote mbili.
Kwa muktadha ili lango lile liwe salama mbinu za kiintelinjisia na ujasusi hutumika katika masaa yote 24 kwa Usalama wa Nchi yetu.