Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kamwe hawezi kufurahi mafanikio ya cdm maana walishalishwa sumu na mjomba wao kuwa cdm imeshakufahuyo dogo mjinga sana !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamwe hawezi kufurahi mafanikio ya cdm maana walishalishwa sumu na mjomba wao kuwa cdm imeshakufahuyo dogo mjinga sana !
Ccm na Act wana muhao mkubwa sana kipindi hiki
hakika ! yaani watu ni wengi hadi Tecno inagoma kupiga pichaCcm na Act wana muhao mkubwa sana kipindi hiki
Mkutano umedoda
Yule mbunge wa Jiwe aliye isaliti cdm ajiandae kurudi kijijini akalime kahawa na maharage.hakika ! yaani watu ni wengi hadi Tecno inagoma kupiga picha
Shetani hajawahi kumshinda MunguChaDeMa mna tishaa , bado muko hai kihivi.
Kweli mama kazi anayo
Unawashwa na tigo wewe siyo kwa wenge hili. Kazae na MboweKwa Mujibu wa Ratiba ya Mikutano ya hadhara iliyotangazwa na Chadema kanda ya Nyasa , Leo ni zamu ya Tunduma.
Labda kwa wageni na wenyeji wasahaulifu ni kwamba , Jimbo la Tunduma ni miongoni mwa majimbo machache yaliyokombolewa muda mrefu kutoka kwenye makucha ya utumwa wa ccm , huku halmashauri iliongozwa na chadema kwa karibu 100% , jambo hili liliwakasirisha watawala waoga wasio na hoja.
Taarifa za kidunia zinadokeza kwamba Tunduma ndio Jimbo la Tanzania lililoteswa kuliko yote na uongozi wa kidikteta wa awamu ya 5 , likifuatiwa na Jimbo la Hai , Hakuna kiongozi wa Chadema Tunduma ambaye hakuwahi kukamatwa na Polisi , mamia ya viongozi wa Chadema wametekwa, wameteswa , wamesweka rumande , wamefungwa kwa kesi za uongo za kubambikwa na wengine wameuawa.
Taarifa zingine zinadai kwamba kulitengwa bajeti maalum kwa vyombo vya usalama kwa ajili ya kuishughulikia Chadema Tunduma , wanausalama walisombwa kutoka Dar na kwingineko ili kuishughulikia Chadema na wanachama wake ( vyombo vya habari vya Tanzania vilijua lakini viliufyata)
Mstahiki Meya Mwafongo na viongozi wengine zaidi ya 100 waliwekwa jela kwa miaka mingi kwa kesi za uongo kutokana na udikteta wa awamu ya 5.
Sasa hatimaye leo Chadema na Kamati kuu yake wameingia Tunduma kwa kishindo.
Nashauri kabla ya Mkutano kuanza kuwe na Ukimya wa Dk 5 za kuomboleza waliouawa , kuteswa na kufungwa kwa kusingiziwa.
Usiondoke JF kwa taarifa za Uhakika
==============
UPDATES :
Hatimaye Msafara wa Chadema waingia Tunduma , Mapokezi yake haelezeki wala hayaandikiki , Umati ni mkubwa mno !
Picha na video zake zitakujia hivi punde , kama wewe ni mwanaccm na labda una shinikizo la damu usiangalie uzi huu
View attachment 2528636
Umezileta za nini, kima kweliAcha upumbavu, hakuna aliyekulazimisha kusoma mada hizi or to comments
ushachemkaUmezileta za nini, kima kweli
Picha na video zitakujia hivi punde
ndio wewe umevaa kijani , nakuona , huogopi majini kwahiyo nguo uliyovaa ?View attachment 2528697
View attachment 2528698
View attachment 2528699
Nipo hapa nimevaa tshirt yangu ya CCM
Huwezi nitambua,watu wengi sana
Libe kanitambua nilionana nae Kyela 2020
Nyie watu ni wajinga mno. Huoni hiyo picha ni ya wakati wa lowassa?
Kwi Kwi KwiNyie watu ni wajinga mno. Huoni hiyo picha ni ya wakati wa lowassa?