Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,833
- 11,173
Nyie watu ni wajinga mno. Huoni hiyo picha ni ya wakati wa lowassa?
Wewe kweli ni kichaa nimeamini!
Picha hizo nimepiga mm kwa simu yangu
Acha upuuzi wako bana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie watu ni wajinga mno. Huoni hiyo picha ni ya wakati wa lowassa?
Mungu Ibariki CHADEMAKwa Mujibu wa Ratiba ya Mikutano ya hadhara iliyotangazwa na Chadema kanda ya Nyasa , Leo ni zamu ya Tunduma.
Labda kwa wageni na wenyeji wasahaulifu ni kwamba , Jimbo la Tunduma ni miongoni mwa majimbo machache yaliyokombolewa muda mrefu kutoka kwenye makucha ya utumwa wa ccm , huku halmashauri iliongozwa na chadema kwa karibu 100% , jambo hili liliwakasirisha watawala waoga wasio na hoja.
Taarifa za kidunia zinadokeza kwamba Tunduma ndio Jimbo la Tanzania lililoteswa kuliko yote na uongozi wa kidikteta wa awamu ya 5 , likifuatiwa na Jimbo la Hai , Hakuna kiongozi wa Chadema Tunduma ambaye hakuwahi kukamatwa na Polisi , mamia ya viongozi wa Chadema wametekwa, wameteswa , wamesweka rumande , wamefungwa kwa kesi za uongo za kubambikwa na wengine wameuawa.
Taarifa zingine zinadai kwamba kulitengwa bajeti maalum kwa vyombo vya usalama kwa ajili ya kuishughulikia Chadema Tunduma , wanausalama walisombwa kutoka Dar na kwingineko ili kuishughulikia Chadema na wanachama wake ( vyombo vya habari vya Tanzania vilijua lakini viliufyata)
Mstahiki Meya Mwafongo na viongozi wengine zaidi ya 100 waliwekwa jela kwa miaka mingi kwa kesi za uongo kutokana na udikteta wa awamu ya 5.
Sasa hatimaye leo Chadema na Kamati kuu yake wameingia Tunduma kwa kishindo.
Nashauri kabla ya Mkutano kuanza kuwe na Ukimya wa Dk 5 za kuomboleza waliouawa , kuteswa na kufungwa kwa kusingiziwa.
Usiondoke JF kwa taarifa za Uhakika
==============
UPDATES :
Hatimaye Msafara wa Chadema waingia Tunduma , Mapokezi yake haelezeki wala hayaandikiki , Umati ni mkubwa mno !
Picha na video zake zitakujia hivi punde , kama wewe ni mwanaccm na labda una shinikizo la damu usiangalie uzi huu
View attachment 2528636
View attachment 2528712View attachment 2528714View attachment 2528713
Wanasema huyo kijana amerukwa na akili kutokana na kuporwa mkeWewe kweli ni kichaa nimeamini!
Picha hizo nimepiga mm kwa simu yangu
Acha upuuzi wako bana
AmenMungu Ibariki CHADEMA
Huku roho inakuuma Jo[emoji23]Ni jambo jema
Wanasema huyo kijana amerukwa na akili kutokana na kuporwa mke
Wanasema huyo kijana amerukwa na akili kutokana na kuporwa mke
Asante sana..fuatilieni mkutano wa Tunduma LIVE hapa.
Wale waliodai picha video hii sasaAsante sana wana Tunduma ngome Pendwa ya cdm kanda ya nyanda za juu kusini.
Mmelionyesha taifa kuwa mapenzi ya chama ni kutoka moyoni.View attachment 2528622
View attachment 2528697
View attachment 2528698
View attachment 2528699
Nipo hapa nimevaa tshirt yangu ya CCM
Huwezi nitambua,watu wengi sana
Libe kanitambua nilionana nae Kyela 2020
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Noma sana !
WatabishaWale waliodai picha video hii sasa
Wamebakia kumbwelambwela tuWale waliodai picha video hii sasa
Mkuu check networkErythrocyte picha hazionekani
Umewamaliza kina Thomaso
Cdm tulianza na Mungu,Asante sana
Siku zote sisi ni Watiifu , anayetaka picha anawekewaUmewamaliza kina Thomaso
Hiyo ndiyo cdm na ndiyo maana hadi leo cdm inaendelea kupendwa kila mahala.Siku zote sisi ni Watiifu , anayetaka picha anawekewa
Hiyo ndiyo cdm na ndiyo maana hadi leo cdm inaendelea kupendwa kila mahala.