Tunduma: Yanayojiri kwenye Mkutano Mkubwa wa hadhara wa CHADEMA

Tafadhali usikaribishe sukuma gang kwenye chama cha waungwana.
Wewe ukibagua kabila lenye wapiga kura zaidi ya millioni 15, ukiongeza ndugu zao Wanyamwezi wenye wapiga kura zaidi ya millioni 8, ujumlisha ndugu wa kada ya ziwa unataka nani akupigie kura? Hii agenda ya Sukuma Gang ni self defeating, CHADEMA wantakiwa kuachana nayo. Sisi Wasukuma hatuwezi kukaa na kuangalia tunatukanwa na Chama chochote, lakini baadaye waje kujipendekeza kutafuta kura kwetu. CHADEMA mnatakiwa kuacha kuwabaguwa na kuwatukana Wasukuma na ndugu zao. Siasa za kabila hazifai. Wanyamwezi kama mnataka kura zao. Lakini kama mtaendelea na hizo siasa za kikabila tutaonana kwenye kura. Mimi nitakuwa wa kwanza kuwakumbusha Wasukuma jinsi CHADEMA inavyowachukia Wasukuma, eti kwa sababu raisi aliyepita alikuwa Msukuma, and it will work against you. Mmesahau mbinu za Kikwete kumpa uraisi Membe zilivyozimwa. Ninyi endeleeni tu na ujinga wenu wa kuigawa TZ kimakabila.
 
Mlivyokuwa mnawabagua makabila wengine kwa kujifanya mnaweza kuamua chochote mnachoweza mlikuwa hamjui kuwa ubaguzi ni mbaya?

Leo hii mnaanza kulialia baada ya mjomba wenu kuwatupa mkono.

Kanda ya ziwa ndiyo kitovu cha upinzani wa hiari.

Kumbuka cdm ilikuwa na wabunge wangapi hapo Mwanza na Musoma na Kagera pia Kigoma na Shinyanga.

Inaonekana wewe ni mgeni wa siasa za vyama vingi.
 
Pumbaf
 
Kwa Mujibu wa Ratiba ya Mikutano ya hadhara iliyotangazwa na Chadema kanda ya Nyasa , Leo ni zamu ya Tunduma.

Labda kwa wageni na wenyeji wasahaulifu ni kwamba , Jimbo la Tunduma ni miongoni mwa majimbo machache yaliyokombolewa muda mrefu kutoka kwenye makucha ya utumwa wa ccm , huku halmashauri iliongozwa na chadema kwa karibu 100% , jambo hili liliwakasirisha watawala waoga wasio na hoja.

Taarifa za kidunia zinadokeza kwamba Tunduma ndio Jimbo la Tanzania lililoteswa kuliko yote na uongozi wa kidikteta wa awamu ya 5 , likifuatiwa na Jimbo la Hai , Hakuna kiongozi wa Chadema Tunduma ambaye hakuwahi kukamatwa na Polisi , mamia ya viongozi wa Chadema wametekwa, wameteswa , wamesweka rumande , wamefungwa kwa kesi za uongo za kubambikwa na wengine wameuawa.

Taarifa zingine zinadai kwamba kulitengwa bajeti maalum kwa vyombo vya usalama kwa ajili ya kuishughulikia Chadema Tunduma , wanausalama walisombwa kutoka Dar na kwingineko ili kuishughulikia Chadema na wanachama wake ( vyombo vya habari vya Tanzania vilijua lakini viliufyata)

Mstahiki Meya Mwafongo na viongozi wengine zaidi ya 100 waliwekwa jela kwa miaka mingi kwa kesi za uongo kutokana na udikteta wa awamu ya 5.

Sasa hatimaye leo Chadema na Kamati kuu yake wameingia Tunduma kwa kishindo.

Nashauri kabla ya Mkutano kuanza kuwe na Ukimya wa Dk 5 za kuomboleza waliouawa , kuteswa na kufungwa kwa kusingiziwa.

Usiondoke JF kwa taarifa za Uhakika

==============
UPDATES :

Hatimaye Msafara wa Chadema waingia Tunduma , Mapokezi yake haelezeki wala hayaandikiki , Umati ni mkubwa mno !

Picha na video zake zitakujia hivi punde , kama wewe ni mwanaccm na labda una shinikizo la damu usiangalie uzi huu

View attachment 2528636
View attachment 2528712View attachment 2528714View attachment 2528713
Nikupongeze kwa "mhtasari" uliojitosheleza. CHADEMA imetoka mbali, imepitia mengi..., natumaini hawatayasahau yote hayo kwa mbinu mpya za hadaa na kejeli.

Wakati huu ni wa ku'focus' kwenye lengo kuu, basi, kuiondoa CCM madarakani. CHADEMA isiliondoe lengo hilo akilini kwa kisingizio kingine chochote kile.
 
Wewe ukibagua kabila lenye wapiga kura zaidi ya millioni 15, ukiongeza ndugu zao Wanyamwezi wenye wapiga kura zaidi ya millioni 8, ujumlisha ndugu wa kada ya ziwa unataka nani akupigie kura? Hii agenda ya Sukuma Gang ni self defeating, CHADEMA wantakiwa kuachana nayo. Sisi Wasukuma hatuwezi kukaa na kuangalia tunatukanwa na Chama chochote, lakini baadaye waje kujipendekeza kutafuta kura kwetu. CHADEMA mnatakiwa kuacha kuwabaguwa na kuwatukana Wasukuma na ndugu zao. Siasa za kabila hazifai. Wanyamwezi kama mnataka kura zao. Lakini kama mtaendelea na hizo siasa za kikabila tutaonana kwenye kura. Mimi nitakuwa wa kwanza kuwakumbusha Wasukuma jinsi CHADEMA inavyowachukia Wasukuma, eti kwa sababu raisi aliyepita alikuwa Msukuma, and it will work against you. Mmesahau mbinu za Kikwete kumpa uraisi Membe zilivyozimwa. Ninyi endeleeni tu na ujinga wenu wa kuigawa TZ kimakabila.
Acheni utoto wasukuma million 15? Upo serious kweli? Nchi Ina watu million 60 na Kanda ya ziwa nzima Ina watu million 17 Sasa kivipi wasukuma pekee wawe 15 million?

Alafu kingine Kanda ya ziwa haipigi kura kama block mfano Kagera, Kigoma, Mara, Shinyanga/Simiyu kwa miaka mingi imeipigia kura Chadema. Hata baada ya kura za kikabila 2015 Bado Chadema ilipata wabunge na kura nyingi sana Kanda ya ziwa mfano hata 2020 hapo Geita mjini CCM ilipata 30,000 Chadema 17,000 so unaweza ona Bado ni 50/50 licha ya JPM kuwa Rais.

So msijidanganye kuwa Chadema haikubaliki Kanda ya ziwa mtajidanganya tu.
 
Mlivyokuwa mnawabagua makabila wengine kwa kujifanya mnaweza kuamua chochote mnachoweza mlikuwa hamjui kuwa ubaguzi ni mbaya?

Leo hii mnaanza kulialia baada ya mjomba wenu kuwatupa mkono.

Kanda ya ziwa ndiyo kitovu cha upinzani wa hiari.

Kumbuka cdm ilikuwa na wabunge wangapi hapo Mwanza na Musoma na Kagera pia Kigoma na Shinyanga.

Inaonekana wewe ni mgeni wa siasa za vyama vingi.
Hajui lolote huyo sukuma gang, amesahau 2015 Chadema ilikua na wabunge kuanzia Bukoba, Ukerewe, mpaka Mkoa wa Mara kipindi ambacho JPM alikua Rais!! Na huko nyuma (2010) tulikua na wabunge wengi Kanda ya ziwa kuliko Kanda nyingine yoyote Ile na Hilo litajirudia 2025!!
 
Acheni utoto wasukuma million 15? Upo serious kweli? Nchi Ina watu million 60 na Kanda ya ziwa nzima Ina watu million 17 Sasa kivipi wasukuma pekee wawe 15 million?

Alafu kingine Kanda ya ziwa haipigi kura kama block mfano Kagera, Kigoma, Mara, Shinyanga/Simiyu kwa miaka mingi imeipigia kura Chadema. Hata baada ya kura za kikabila 2015 Bado Chadema ilipata wabunge na kura nyingi sana Kanda ya ziwa mfano hata 2020 hapo Geita mjini CCM ilipata 30,000 Chadema 17,000 so unaweza ona Bado ni 50/50 licha ya JPM kuwa Rais.

So msijidanganye kuwa Chadema haikubaliki Kanda ya ziwa mtajidanganya tu.
Na CHADEMA nao wakijisahau na kudhani upuuzi kama huo upo, hilo litakuwa ni kosa la CHADEMA.

Wapuuzi kama huyo uliyemjibu hapo wanatapatapa, hawana pa kushikia tena.
 
Acheni utoto wasukuma million 15? Upo serious kweli? Nchi Ina watu million 60 na Kanda ya ziwa nzima Ina watu million 17 Sasa kivipi wasukuma pekee wawe 15 million?

Alafu kingine Kanda ya ziwa haipigi kura kama block mfano Kagera, Kigoma, Mara, Shinyanga/Simiyu kwa miaka mingi imeipigia kura Chadema. Hata baada ya kura za kikabila 2015 Bado Chadema ilipata wabunge na kura nyingi sana Kanda ya ziwa mfano hata 2020 hapo Geita mjini CCM ilipata 30,000 Chadema 17,000 so unaweza ona Bado ni 50/50 licha ya JPM kuwa Rais.

So msijidanganye kuwa Chadema haikubaliki Kanda ya ziwa mtajidanganya tu.
Uchaguzi wa 2020 hauwezi kuwa kipimo kwenye takwimu kwa sababu kura zilizopigwa na zilizotangazwa siyo halisi.

Bila shaka CDM 2020 ilipata kura nyingi kura nyingi zaidi kanda ya ziwa kuliko uchaguzi mwingine wowote kulingana na mwitikio wananchi.
 
Hajui lolote huyo sukuma gang, amesahau 2015 Chadema ilikua na wabunge kuanzia Bukoba, Ukerewe, mpaka Mkoa wa Mara kipindi ambacho JPM alikua Rais!! Na huko nyuma (2010) tulikua na wabunge wengi Kanda ya ziwa kuliko Kanda nyingine yoyote Ile na Hilo litajirudia 2025!!
Hakika haya majitu inatubidi tuyaonyeshe kuwa hata bila wao tunaweza kufanya maamuzi juu ya mustakabali wa nchi yetu.
 
Acheni utoto wasukuma million 15? Upo serious kweli? Nchi Ina watu million 60 na Kanda ya ziwa nzima Ina watu million 17 Sasa kivipi wasukuma pekee wawe 15 million?

Alafu kingine Kanda ya ziwa haipigi kura kama block mfano Kagera, Kigoma, Mara, Shinyanga/Simiyu kwa miaka mingi imeipigia kura Chadema. Hata baada ya kura za kikabila 2015 Bado Chadema ilipata wabunge na kura nyingi sana Kanda ya ziwa mfano hata 2020 hapo Geita mjini CCM ilipata 30,000 Chadema 17,000 so unaweza ona Bado ni 50/50 licha ya JPM kuwa Rais.

So msijidanganye kuwa Chadema haikubaliki Kanda ya ziwa mtajidanganya tu.
Waambie hao ndumila kuwili hao
 
Huu ujinga wa kuungaunga picha unawasaidia nn? Mnakumbatia ushoga kwa kisingizio cha mambo ya faragha
 
Unadhani wasukuma wote wajinga kama wewe?
Wewe ukibagua kabila lenye wapiga kura zaidi ya millioni 15, ukiongeza ndugu zao Wanyamwezi wenye wapiga kura zaidi ya millioni 8, ujumlisha ndugu wa kada ya ziwa unataka nani akupigie kura? Hii agenda ya Sukuma Gang ni self defeating, CHADEMA wantakiwa kuachana nayo. Sisi Wasukuma hatuwezi kukaa na kuangalia tunatukanwa na Chama chochote, lakini baadaye waje kujipendekeza kutafuta kura kwetu. CHADEMA mnatakiwa kuacha kuwabaguwa na kuwatukana Wasukuma na ndugu zao. Siasa za kabila hazifai. Wanyamwezi kama mnataka kura zao. Lakini kama mtaendelea na hizo siasa za kikabila tutaonana kwenye kura. Mimi nitakuwa wa kwanza kuwakumbusha Wasukuma jinsi CHADEMA inavyowachukia Wasukuma, eti kwa sababu raisi aliyepita alikuwa Msukuma, and it will work against you. Mmesahau mbinu za Kikwete kumpa uraisi Membe zilivyozimwa. Ninyi endeleeni tu na ujinga wenu wa kuigawa TZ kimakabila.
 
Name calling inakatazwa kwa sheria za Jf. Mkuu sana Moderator hivi vitoto vinatakiwa vifindishwe sheria za Jf kwa nguvu.
Changia uzi acha umbea, wenye JF wenyewe kutwa wanavunja sheria. Halafu kama vipi weka kifungu cha sheria ya JF inayokataza name calling na wakati huo huo uniambie mwaipaya ni jina la nani maana kikwetu sio jina la mtu.
 
Back
Top Bottom