Akili ulizonazo ni kugawa makalio tu polisi akichunguza urai wa mtu anamlaza ndani magufuli. Wanasema mrundi mbona kawa raisiUraia waweza chunguzwa muda wowote Bila kujali ulishika madaraka lini na muda gani Kiongozi wa vijana CCM mwananyamala alidakwa si raia,mkuu wa wilaya General ulimwengu alidakwa pia na uhamiiaji sembuse huyo mgombea udiwani
Kwani hao raia Ni idara ya uhamiiaji? Wanamjua raia na asiye raia? Matatizo Mengine ya kujitakia wawache uhamiiaji wafanye kazi zao
Ahaaaa wewe kijana mimi sijaribiwi.[emoji123][emoji88]Application ya msaidizi wa Angel Gabriel inajibiwa hivi karibuni.
Hata CDF Asili yake ni Burundi ndiyo maana magufuli kamng’ang’ania licha ya umri wake wa kustaafu kufika tokea 2017, hata IGP mda wake wa kustaafu ulishafika kitambo wanatembelea miaka ya nyongeza ngoja waendelee kuwaonea kuwanyanyasa wapinzani wakifikishwa mahakama ya uhalifu The Hague ndipo watajutia Ubaya wao , na watakumbuka ni kwa nini hawakustaafu mapema waeupeke mkono wa Sheria za kimataifaAkili ulizonazo ni kugawa makalio tu polisi akichunguza urai wa mtu anamlaza ndani magufuli. Wanasema mrundi mbona kawa raisi
Bashite hujawahi kuwa naakili Nida wametoa namba mpaka magufuli aliagiza zitolewe namba baada ya mradi wa vitambulisho bashite na magu kulahela zingine kupeleka kujenga mwanza so nyamaza acha uzuzuWewe ni Great thinker kweli??
Mgombea udiwani kukosa kitambulisho cha uraia ni uzembe uliopitiliza
Hadi wamachinga wana vitambulisho vya uraia sembuse mgombea udiwani?Bashite hujawahi kuwa naakili Nida wametoa namba mpaka magufuli aliagiza zitolewe namba baada ya mradi wa vitambulisho bashite na magu kulahela zingine kupeleka kujenga mwanza so nyamaza acha uzuzu
Na iwe hivyo,Amina!Baada ya uchaguzi kupita atafikishwa kwenye mahakama ya uhalifu The Hague
Kwahiyo hawataki Mamlaka zifanye kazi yake.
[/Qmamlaka za waiaji kama makonda na Magu haha utawala uliofitinika
Ha ha ha ha na huyo jamaa anatwanga mabarua ni hatari. Yaani anaweka ushahidi tu ili ukienda kinyume tu inakula kwako.....Safi sana Tunduma!!! Tena chukueni ushahidi wote. Akifa mtu au kujeruhiwa mtu tu tunatuma Amsterdam. Mwaka huu lazima wanyoke
Mtukufu ni Raia wa Burundi hata katibu mkuu wa CCM ni Raia wa Rwanda tena kiukoo wana Undugu na kagame nenda kawaulize kama wana vitambulisho vya uraiaHadi wamachinga wana vitambulisho vya uraia sembuse mgombea udiwani?
Kwani wamachinga wao siyo binaadamuHadi wamachinga wana vitambulisho vya uraia sembuse mgombea udiwani?
Unajuwa nini weee hata mtoto ilibidi wachina wakusaidie machinga wanavitambulisho vya wizi ya magu na makondo wameti ndani bilioni 200 vitambulisho vya machinga wezi majambaziHadi wamachinga wana vitambulisho vya uraia sembuse mgombea udiwani?
We shall overcome, nothing has remained stable in human history from dark ages to the enlighted ages mabadiliko yametokea magharbi na mashariki yake, kasikazini na kusini yake.Mabomu yanapigwa mda huu kituo cha polisi Tunduma, wananchi wameandamana wanataka Polisi wamwachie mgombea Udiwani wa Chadema kata ya Majengo Boniface Mwakabanje ambaye anashikiliwa kituoni hapo tangu jana usiku kwa tuhuma za kutengenezwa na Polisi kwamba sio raia wa Tanzania
Hii ni tweet ya Hilda Newton mwanachadema
Hata kama siyo raia wa TZ?
Aachwe arudishe form wamuwekee pingamizi ktk ground za kutokuwa raia.Kwani hao raia Ni idara ya uhamiiaji? Wanamjua raia na asiye raia? Matatizo Mengine ya kujitakia wawache uhamiiaji wafanye kazi zao
Kama mama ako alivo lishwa dira na kofia za ccm