Uchaguzi 2020 Tunduma yazuka vurugu na mabomu ya machozi yapigwa na polisi

Pesa ya viwanda inatumika kudidimiza demokrasia kuwabambikia kesi kuwanyanyasa wapinzani hakuna viwanda tena imebakia uonevu mtupu
 
Aachwe arudishe form wamuwekee pingamizi ktk ground za kutokuwa raia.
Mtu akiwa si raia unamdaka popote awe njiani au anaelekea chooni Huwezi SEMA tumsubiri Aende kunya kwanza ndio tuondoke naye atakunya mbele hata uhamiaji vyoo vipo
 
Mtu akiwa si raia unamdaka popote awe njiani au anaelekea chooni Huwezi SEMA tumsubiri Aende kunya kwanza ndio tuondoke naye atakunya mbele hata uhamiaji vyoo vipo

Jamaa kiswahili chake hakijanyoka halafu ni kama jasusi la nchi jirani hapo.
 
Madiwani wa chadema wengine wa tunduma wote wamekimbia wana sakwa napolisi wababikiziwe kesi
 
Wachawi wa amani ya nchi hii ni CCM wenyewe,Slinde amehamia CCM tayari ameshakuwa mchawi na ameanza kutekeleza alichowaahidi wanaccm wenzake kuwa wakimpitisha atahakikisha CHADEMA hawapati hata kata moja Tunduma.
 
Siro analitumi jeshi LA polis kwa maslahi ya ccm sana, kwa nini chadema wasilalamike rasmi kwa tume ya taifa ya uchaguzi? Hivi uchaguzi unakuwaje huru na haki wkati polis wanakamata wagombea wachama kingine?
 
Maaakofu wetu wanasubiri sadaka jumapili ijayo
 
Ushauri huo sikubaliani nao. Wakiuwa na nyie UWENI. Kodini hata silaha toka Zambia na Congo wafuate hao askali kwenye familia zao uwa yoyote anye wahusu. Kama ni mke au mtoto umemkuta uwa tu. Tumechoka na hao mgambo wa ccm. Uwa wafuate nyumbani kwao.
 
Kwani hao raia Ni idara ya uhamiiaji? Wanamjua raia na asiye raia? Matatizo Mengine ya kujitakia wawache uhamiiaji wafanye kazi zao
Siku akifanyiwa hivyo mzazi au ndugu yako ndiyo utaelewa maana ya hicho ulichoandika
 
Idara ya police na mkuu wenu mnaharibu sana. Haya yanayotokea Tunduma ni kwasasbu ya upofu wenu. Watu hawaitaki ccm na mambo yake yote. Kumbukeni Tunduma ni mpakani, huwezi kuwadanganya kitu kama wale wagogo wa Dodoma. Tunduma kama ni huduma za kijamii wanaenda kokote.

Kwajinsi polisi wanavyokaza shingo zenu mda si mrefu mtaanza kujilinda na familia zenu. Watu wameichoka ccm nyie mnalazimisha. Mnajitafutia ubaya mbele ya jamii.

Narudia tena MTASHINDWA KUILINDA CCM MTAKUWA MNAJILINDA NYINYI NA FAMILIA ZENU. ACHENI WATU WAFANYE MAMBO YAO. MSIWALAZIMISHE. Huko Tunduma hawajazoea kulazimisha na hawana hofu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…