minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Pesa ya viwanda inatumika kudidimiza demokrasia kuwabambikia kesi kuwanyanyasa wapinzani hakuna viwanda tena imebakia uonevu mtupuKuna vitambulisho maalumu ya uraia kwa madiwani? Watu tuna mwaka wa pili huu unakaribia hatuna vitambulisho vya uraia zaidi ya namba, uzembe wa NIDA unamsumbuaje raia? Huyo mgombea udiwani ulitaka atumie mabavu huko NIDA kupata hicho kitambulisho?
NB: Weka list ya viwanda 100@mkoa ili tuone Tanzania ya viwanda na utekelezaji wa ilani ya ccm.