Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa watu wabaya sana kushinda hata mafrimason.Influence ya shetan inawadhuru sana.
kwa tundulu nguruwe hu ni mnya wa polini hafugwa na binadam kama ameuwawa basi aliwafuata maadui zake nguruwe hufugwa mbeya moshi dar.. Pia akionekana nguruwe mtaani pia atauwawa ndio maana wafugaji wa nguruwe huka mbali na mjilani hakyna anae penda halufu ya shwahini .....
Nina hasira kweli na hao watu,ingekuwa Shehe wa mkoa wetu ana gari ningelitafuta leo hii nikalichomelea mbali,tatizo mashehe wengi wa mikoa ni baiskeli mtindo mmoja,nanyi Tunduru tafuteni msikiti mmoja muupe mambo,uvumilivu una kikomo.Mkuu naomba ungesoma vizuri taarifa hii! Hayo magari nayo ni nguruwe siku hizi? Halafu kwani Moshi ndo wanafuga nguruwe peke yao?
kwa tundulu nguruwe hu ni mnya wa polini hafugwa na binadam kama ameuwawa basi aliwafuata maadui zake nguruwe hufugwa mbeya moshi dar.. Pia akionekana nguruwe mtaani pia atauwawa ndio maana wafugaji wa nguruwe huka mbali na mjilani hakyna anae penda halufu ya shwahini .....
Nina hasira kweli na hao watu,ingekuwa Shehe wa mkoa wetu ana gari ningelitafuta leo hii nikalichomelea mbali,tatizo mashehe wengi wa mikoa ni baiskeli mtindo mmoja,nanyi Tunduru tafuteni msikiti mmoja muupe mambo,uvumilivu una kikomo.

hii mada imekaa kishabiki shabiki tu haina ukweli wowote mtoa mada hatoi taarifa iliyokamilika watu wanashabikia tu.
Sheikh Ponda na wafuasi wake at work!
jamani tutumie busara kdg, hakuna anaependa udini awe muislam au mkristo.
Mleta mada toa ufafanuzi tafadhali, hayo matukio yameanza lini, chanzo ni nini?
Ungetufafanulia manake binafsi hizo taarifa sijazisikia hata kwenye chombo kimoja cha habari.
Siamini kama kuna mtu yoyote mwenye akili timamu anaeweza akafanya hayo uloeleza bila sababu.0ungetoa taarifa kamili bila upendeleo tuweze kujadili vzr manake taarifa yako ya awali inaonekana kuelemea upande mmoja.
Pili hakuna sehemu yoyote katika mafundisho ya uislam panapofundisha kudhulumu, kuharibu mali ya mtu au kuu asie na hatia.
Anaefanya hivyo kakiuka misingi ya uislam na anapaswa ahukumiwe kama mhalifu mwingine na si kuhukumu dini yake kwani uislam haufundishi hivyo.
Mimi ni muislam ninaejitambua,na pia nafahamu ktk nchi kama tz hakuna kitu kitatugharimu kama machafuko ya kidini,kwanza utambue tunduru hakuna waandishi wa habari lakini piga simu kwa OCD NO.0754612559 AU MKUU WA WILAYA ATAKUTHIBITISHIA KWAMBA NI WIKI 3 SASA TANGU MATUKIO HAYA YAANZE LAKINI KWA KUWA HATUNA WAANDISHI INAKUWA SHIDA KWA KINACHOTUKIA KURIPOTIWA MPAKA LABDA KIFIKIE HATUA YA KUTISHA ZAIDI.

Watunduru, inawezekanaje mambo haya yanatokea na hayapo hata kwenye vyombo vingine vya habari?
nilikusoma hapa juzi, bahati mbaya sijaona update nyingine isipokuwa hii. Inakuaje mtu achome mali yako na wewe umwangalie tu...I mean, katika hali ya kawaida, nikijua wewe ndo umeingia shambani kwangu na kuchoma mifugo yangu, nitalia na wewe mpaka kieleweke.
hebu tuambie, waadhirika wamekwenda polisi? nini maelezo ya polisi? viongozi wa mitaa na vijiji wanasema nini?
Haiwezekani mambo haya kutokea na wanakijiji wakakaa kimya tu...mimi hainiingii akilini.
huu ni ualifu, ukichoma nguruwe wangu nakuchoma wewe .... eye for an eye.
mkuu kidogo umeanza kufunguka,
mmesha fanya jitihada ya kuripoti ngazi za juu zaidi?
Waandishi wa habari nadhani wanakaa mkoani, vp mmejaribu kuwaita waje kuripoti?
Hebu tueleze kwa kirefu chanzo cha hayo matukio, napata ugumu kuamini yalianza bila ya sababu.
Mwisho huna haja ya kunitajia dini yako, we weka mambo wazi utaeleweka.