Kitu kizuri na Cha Faraja Ni vile WAkristo Ni Wanyenyekevu na wanafundisha kwa UwaZi zaiDi 'Upendo' na wAna Ushirika Mkubwa na Jamii..
So then,
Kuna kitu Kinamiss kwa WAislam na Msingi mzima wa KufundiShana dhima Kuu 'Upendo ..
Si zama za JIhad , ama Mtu. Kupoteza Mali hAta Jicho Lake ama Kulinda Territory yake...Ni KufundishAna Kweli Ya Mungu na Matakwa yake
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Sisi Waislaam kuna aya ndani ya Qur'an inatuambia pindi tunapoletewa habari, haswa kutoka kwa 'mtu' asiye amini, basi tulifanyie uchunguzi. kwanza.
Ni wazi mleta uzi ni mfitini na mchochezi, na ma Mod wa JF wamekuwa wakiendekeza sana mitundiko ya aina hii yenye kukebehi, kukejeli na kubeza Uislaam.
Ukifanya tafakuri unajikuta na maswali mengi kuliko majibu, kwa mfano:
1. Sehemu husika ya tukio ni. wapi ? ni kijiji, tarafa, kata gani ?
2. Nini madai ya hao waliofanya hiyo jinai ?
3. Tunduru ina umaarufu wa Uislaam kiasi gani ? idadi ya waumini na misikiti.
4. Wakati haya yakitokea, wenye mali walikuwa wapi ?
5. Nguruwe wengi kiasi hichi walikuwa shabani au mabarabarani ?
6. Wahalifu wangapi wamekamatwa ?
7. Wana usalama (Polisi) wamethibitisha hili tukio ?
8. Vyombo gani vimeripoti hili tukio ?
9. Mleta mada amewahukumu kiujumla kuwa wahusika ni Waislaam, je anauthibitisho wa hilo ?
10. Kwa, Waislaam kufanya kitendo hicho, je kimawasaidia nini ? what is their principal objective ?
Kabla hamjaendelea na matusi na kejeli hebu dadavueni hayo maswali !