zaleo, unaweza kuwa unampigia mbuzi gitaa. lakini wenye akili ya kuelewa watakuelewa, lakini wenye akili ya mwovu, mpenda shari, kamwe hawatakuelewa. Siku zote nasema haiwezekani na haitawezekana MUNGU wa Bwana wetu YESU KRISTO akawa ndo MUNGU wa waislam. hawa watu MUNGU wao tofauti sana tu. Ni tofauti kwa kuwa hata tunayoyaamini au tuliyoagizwa kuyaamini pia yako tofauti. Kama angekuwa MUNGU mmoja, hata imani yetu ingekuwa moja.
zaleo mimi naamini hata kama mtu atamkashifu vipi KRISTO, MKRISTO hana sababu ya kuanza vita na mtu huyo kwa sababu ya aina yoyote ile, zaidi ya kukupa elimu unayotaka kuifaham. zaidi ya hapo utakuwa sio ukristo. Sasa dini ya wenzetu mtu na uharamia wake katengeneza movie kwa matakwa yake binafsi, badala hata basi kumtafuta mhusika, eti ubalozi wa nchi, watu wake wote na mali zao zinaharibiwa=HUU NI UJINGA NA USHETANI MKUBWA. Kwani hata YESU akitukanwa, ataacha kuwa YESU? Kwa nini mtume atukanwe halafu wafuasi wake wanalipuka na kuhatarisha usalama wa watu wengine? au hatakuwa mtume tena? mnachekesha ndugu zetu waislam.
Yesu alitukanwa sana, alidhihakiwa sana, alitemwa mate hadharani na alikuwa na uwezo wa kufanya kila lililobaya dhidi yao, lakini aliishia kuwaombea rehema kwa kusema HAWAJUI WALITENDALO. Mi nadhani huku ndiko MUNGU aliko na si kwngineko kulikojaa ushetani=vurugu, ghasia, uvunjifu wa aman na mengine mengi