Tunduru: Gari ya mchungaji, mfuasi wake pamoja na nguruwe 6 wachomwa moto

 
Ukweli unakuwa serikali inawaogopa waislamu! Au aidha waislamu wafanyao fujo huwa ni agizo la serikali ndiyo maana haiwezi kuingilia kati. Fikiria maneno mengi ya uchochezi yanayotolewa na Redio imani na washirika wake. Fikiri juu ya mtu aanayeitwa sheikh Ponda na matusi yote kwa imani nyingine. unadhani ingejaribu kufanya hivyo WAPO Radio, Radio Tumaini, nk leo ingekuwepo? Hapo JK anazidi kutueleza mambo kadhaa:
1. Ni yeye mfadhili wa mihadhara yote pamoja na matukio ya waislamu akishirikiana na Jeshi la polisi (Said Mwema na wenzake pamoja na Usalama wa CCM
2. Kama hilo si kweli angeshakemea, wahalifu wangeshakamatwa na kuchukuliwa hatua za nidhamu mara moja
3. JK au IGP wangeshatoa matamshi ya kulaani.

Kwa sababu hiyo nalazimika kuamini kuwa:
1. Serikali yetu ni chanzo cha machafuko yote yanayotokea hapa nchini yakiwemo ya kisiasa na kusingizia wengine
2. Kuna maslahi ya kisiasa serikali iliyoko madarakani inapata kwa uchochezi na vurugu zinazofanywa na waislamu kote nchini
3. Kuna uwezekano wa kupanga vurugu zitakazoletwa kwa misingi hii hii mara chaguzi muhimu zinapokaribia (hasa kwenye majimbo nyeti yanayoshikiliwa na watu wasiopendwa) hivyo kusababisha chaguzi hizo zisifanyike ili ukifika wakati wa uchaguzi mkuu waseme si mnaona majimbo yanayoongozwa na upinzani...

Kuna mixed feelings kwenye hili na tunashindwa kupata majibu sahihi lakini muda si mrefu tutapata majibu yake.

Nasubiri
 

Sisi Waislaam kuna aya ndani ya Qur'an inatuambia pindi tunapoletewa habari, haswa kutoka kwa 'mtu' asiye amini, basi tulifanyie uchunguzi. kwanza.
Ni wazi mleta uzi ni mfitini na mchochezi, na ma Mod wa JF wamekuwa wakiendekeza sana mitundiko ya aina hii yenye kukebehi, kukejeli na kubeza Uislaam.
Ukifanya tafakuri unajikuta na maswali mengi kuliko majibu, kwa mfano:
1. Sehemu husika ya tukio ni. wapi ? ni kijiji, tarafa, kata gani ?
2. Nini madai ya hao waliofanya hiyo jinai ?
3. Tunduru ina umaarufu wa Uislaam kiasi gani ? idadi ya waumini na misikiti.
4. Wakati haya yakitokea, wenye mali walikuwa wapi ?
5. Nguruwe wengi kiasi hichi walikuwa shabani au mabarabarani ?
6. Wahalifu wangapi wamekamatwa ?
7. Wana usalama (Polisi) wamethibitisha hili tukio ?
8. Vyombo gani vimeripoti hili tukio ?
9. Mleta mada amewahukumu kiujumla kuwa wahusika ni Waislaam, je anauthibitisho wa hilo ?
10. Kwa, Waislaam kufanya kitendo hicho, je kimawasaidia nini ? what is their principal objective ?
Kabla hamjaendelea na matusi na kejeli hebu dadavueni hayo maswali !
 
bora umeona mkuu, jf nayo imekuwa kijiwe cha porojo.
Watu hata hawahoji wapate taarifa za kutosha wanakimbilia kulaumu na kumwaga povu.

...............yaaani JF imekuwa kero sana, mada za kijinga jinga kutoka kwa watu mabwegge bwegge zinaendekezwa sana ! na wachangiaji waapuuzi wanamwaga tuu pumba bila tafakuri yeyote. Hii inashusha sana hadhi ya hapa. Mie huichukulia JF kwa uzito wa hali ya juu ya uweledi kiasi siwezi kujibu au kuanzisha uzi wowote mpaka nijridhishe kuwa nimefanya home work ya kutosha.
....ngoja tuangalie twendako !
 

Nashindwa kuelewa mantiki gani unatumia,nimeshiriki kuzima moto waliochomwa nguruwe jana usiku,nimeona magari yaliyochomwa,we unaniambia nikatafute chanzo,kama hakuna chanzo unamaanisha hayo matukio hayapo?chanzo wanakijua wanaotenda hayo.nimekwambia ni wiki ya tatu sasa tangu matukio haya yaanze lakini hata polisi wenyewe hawajamtia mbaroni yeyote isipokuwa hisia za wengi zinawanyoshea kidole ansar sunna na hii ni kutokana na wao kuonyesha chuki za wazi dhidi ya wakristo huku wakinadi kwamba wamedhulumiwa kwa muda mrefu na kwamba sasa wako tayari kujitoa muhanga dhidi ya makafiri,kama haitoshi kabla ya matukio haya kulikuwa na muhadhara na sihitaji kukwambia ktk mihadhara yao nini huwa kinahamasishwa.lakini si lazima ukubali,tunaambiwa you can wake up the one who is asleep but you cant wake up the one who is pretending to be asleep,
Kazi ni kwako.
 

..........kwa hiyo hiyo dhulma waliofanyiwa ni juu ya nguruwe na magari ? hao watu wamepita wakijinadi kuwa wako tayari kujitowa muhanga, lakini hapo hapo una comment kuwa hawajulikani !
Katika mihadhara walihamasishwa kuwa adui yao ni nguruwe ?
 
Hii thread inaonekana imekaa kiushabiki fulani hivi. Haionyeshi uhakika na ukubwa wa tatizo kiasi cha kuwafanya watanzania tuchangie kwa jazba namna hii. Kama vip jamani MODS block this thread. Inawajaza hasira watu wakati hatuna uhakika kama kweli hicho kinachosemwa kipo hivyo, mbona hatuoni kwenye tv au kusikia kwenye radio kama kweli hayo yametokea?? au hapo tunduru ni mbali kiasi hicho??? MODS P'SE, BLOCK THIS THREAD.
 

Mtumia wingi always ana low self esteem.
 

Labda Moderator ana maslahi nao huu uzi !
 
Sasa hawa jamaa wanachoma mabanda ya nguruwe, hopefully na nguruwe wenyewe, ina maana wamesahau kuwa kuruani imewaruhusu kumla!!!!!
Naam wameambiwa "kuleni nguruwe" kwanini mfe kwa njaa wakati nguruwe wapo!!! Kuleni.

Enyi waislamu, ya nini kujitoa akili na maarifa ya kuruani?
 
..........kwa hiyo hiyo dhulma waliofanyiwa ni juu ya nguruwe na magari ? hao watu wamepita wakijinadi kuwa wako tayari kujitowa muhanga, lakini hapo hapo una comment kuwa hawajulikani !
Katika mihadhara walihamasishwa kuwa adui yao ni nguruwe ?

kama sio adui yao mbona hawamli huyo nguruwe, wanajirundikia mihasira ya bureee!!!
 

Mpuuzi mwenyewe! Ama la sivyo usingechangia, narudia tena mpuuzi mwenyewe, usijesema nimekutukana maana mpuuzi atokana na upuuzi ulioutaja hapo kwenye bandiko lako!!!
 
 
aja jazba, leta taarifa ilokamilika na sio vipande vya habari.
Hii habari ipo nusu mkuu, kajipange vzr ujetena, usikurupuke.

malzia ww hiyo nusu iliyobaki maana umeng'ang'aniaaaa.. Mpgie simu OCD namba si ametoa hapo
 

namba ya OCD si katoa jamani waambien waandishi wa habari wafuatilie au nyie wenyewe mpge simu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hii habari ni kweli nimeisikia Radio wapo fm jioni ya leo.
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…