Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
.....ndani ya Qur'an kuna Injil, hivyo tunajua kilicho sahihi katika Biblia na kilicho potoshwa !
Soma hii hoja hapa kama unaweza kuidadavua:
..........Ibrahim hakuwa Myahudi wala Mkristo, lakini alikuwa mwongofu: Muislaam, wala hakuwa katika washirikina. Watu wanaomkaribia zaidi Ibrahim ni wale waliomfuata yeye na Nabii huyu (Muhammad) na walioamini (kuwa Mwenyezi Mungu ni mmoja). Na Mwenyezi Mungu ndiye Mlinzi wa waumini. Qur'an:3:67-68.
Mohamedi aliiba mistari ya bible akapotosha.
Ina maana kwenye yale maandishi ya kutoka kushoto kwenda kulia kuna kitabu cha "Luka mtakatifu" au "Yohana mtakatifu" huyu ally kombo mbona haeleweki eleweki jamani!
.....ndani ya Qur'an kuna Injil, hivyo tunajua kilicho sahihi katika Biblia na kilicho potoshwa !
Soma hii hoja hapa kama unaweza kuidadavua:
..........Ibrahim hakuwa Myahudi wala Mkristo, lakini alikuwa mwongofu: Muislaam, wala hakuwa katika washirikina. Watu wanaomkaribia zaidi Ibrahim ni wale waliomfuata yeye na Nabii huyu (Muhammad) na walioamini (kuwa Mwenyezi Mungu ni mmoja). Na Mwenyezi Mungu ndiye Mlinzi wa waumini. Qur'an:3:67-68.
Kwenye sura tulbakara, kuruani inawaelekeza waislamu kumla nguruwe wasije wakajifia kwa njaa, sasa mbwa na nguruwe hupi halali na yupi haramu,
Tupe aya.
By jogi
.....ndani ya Qur'an kuna Injil, hivyo tunajua kilicho sahihi katika Biblia na kilicho potoshwa !
Soma hii hoja hapa kama unaweza kuidadavua:
..........Ibrahim hakuwa Myahudi wala Mkristo, lakini alikuwa mwongofu: Muislaam, wala hakuwa katika washirikina. Watu wanaomkaribia zaidi Ibrahim ni wale waliomfuata yeye na Nabii huyu (Muhammad) na walioamini (kuwa Mwenyezi Mungu ni mmoja). Na Mwenyezi Mungu ndiye Mlinzi wa waumini. Qur'an:3:67-68.)
Hayo maneno yanaashiria kwamba mchangiaji anamaanisha kuwa Muislam, akimaanisha kwamba anamzungumzia Ibrahim aliyezaliwa baada ya Muhammad. Maongezi ya mchangiaji huyu yanaonyesha kwamba Ibrahim hakuwa Myahudi wala Mkristo. Nakubali hakuwa Mkristo kwa sababu Kristo alikuwa hajaja kama unamzungumzia baba yake na Isaka, babuye Israel (Yakobo), Myahudi ambaye huyu bwana anamkataa kuwa sio myahudi, bila shaka hata jina la Israel asingependa kulisikia. Ameleta hoja ambayo nalazimika kusema sio mahali pake na kama anataka kufundishwa ahamishie hoja hiyo kwenye jukwaa la DINI ambako atafunzwa kwa kiswahili anachokielewa, maana kiarabu yaelekea hawezi kukisoma na au kama anakisoma basi haelewi maana yake nini. Pole.
Sawa, umetumia haki yako ya kimsingi ya kuongea. Lakini haki hiyo haitauondoa ukweli uliopo ambao hata ukiambiwa vipi umeganda na unachodhani ndio ukweli. Ni sawa Harun na Musa walikuja baadaye na sio kabla ya Kristo. Ukisema mkristo maanayake ni mfuasi wa Kristo na kwa kuwa japo alikuwapo katika ulimwengu wa kiroho bado hakuwa amejidhihirisha kimwili, Kristo mwenyewe amesema katika injili ambayo hata uislamu umeagizwa kuamini na mtume wao, kwamba hata kabla Ibrahim hajazaliwa yeye alikuwapo akiwa na Babaye. Sio lazima uamini hilo, lakini iamini misahafu basi, maana ina pumzi ya Mungu. Hata tubishane vipi, Mungu anabaki Mungu na mwanaye Yesu Kristo na kisha Roho Mtakatifu kukamilisha Utatu wa Uungu wake. Nimeshauri mada hii ihamie jukwaa lake. Hata hivyo asante kwa kujieleza. Wakristo kamwe hawatakuwa hoi kwa vile hawatumii maguvu kuamini mambo ya rohoni na wala hawalazimishi watu wengine waamini kama wao. Mungu anawajua walio wake na kamwe binadamu hawezi kumsaidia Mungu kutimiza mapenzi yake. Mapenzi ya Mungu anayatimiza Mungu mwenyewe sio kwa vurugu ila kwa upole na utaratibu, sababu Mungu huyu ni wa utaratibu.Hivi unajua tofauti ya "kabla" na "baada" ?
anyway, kukusaidia, Ibrahim alitokea Babeli au Iraq. Wakati wa Ibrahim ni wakati huo huo wa Nabii Lut' na walikuwa wakiishi vijiji tofauti. Baada ya Ibrahim walifuata Manabii wengi akiwemo Musa na Harun, Nabii Daudi na Manabii wote waliotokea katika kizazi cha Yakub !
Ibrahim hakuwa Myahudi wala Mkristo. Kabla ya Kristo kuja, watu wa kipindi cha nyuma (Ibrahim na wengineo) walikuwa dini gani !?
Ibrahim hakuwahi kusema "Mungu ni watatu katika mmoja" na ndio maana ya "ushirikina"
Naona Wagala mko hoi kwa aya mbili tu hizo !
Sawa, umetumia haki yako ya kimsingi ya kuongea. Lakini haki hiyo haitauondoa ukweli uliopo ambao hata ukiambiwa vipi umeganda na unachodhani ndio ukweli. Ni sawa Harun na Musa walikuja baadaye na sio kabla ya Kristo. Ukisema mkristo maanayake ni mfuasi wa Kristo na kwa kuwa japo alikuwapo katika ulimwengu wa kiroho bado hakuwa amejidhihirisha kimwili, Kristo mwenyewe amesema katika injili ambayo hata uislamu umeagizwa kuamini na mtume wao, kwamba hata kabla Ibrahim hajazaliwa yeye alikuwapo akiwa na Babaye. Sio lazima uamini hilo, lakini iamini misahafu basi, maana ina pumzi ya Mungu. Hata tubishane vipi, Mungu anabaki Mungu na mwanaye Yesu Kristo na kisha Roho Mtakatifu kukamilisha Utatu wa Uungu wake. Nimeshauri mada hii ihamie jukwaa lake. Hata hivyo asante kwa kujieleza. Wakristo kamwe hawatakuwa hoi kwa vile hawatumii maguvu kuamini mambo ya rohoni na wala hawalazimishi watu wengine waamini kama wao. Mungu anawajua walio wake na kamwe binadamu hawezi kumsaidia Mungu kutimiza mapenzi yake. Mapenzi ya Mungu anayatimiza Mungu mwenyewe sio kwa vurugu ila kwa upole na utaratibu, sababu Mungu huyu ni wa utaratibu.
zaleo, unaweza kuwa unampigia mbuzi gitaa. lakini wenye akili ya kuelewa watakuelewa, lakini wenye akili ya mwovu, mpenda shari, kamwe hawatakuelewa. Siku zote nasema haiwezekani na haitawezekana MUNGU wa Bwana wetu YESU KRISTO akawa ndo MUNGU wa waislam. hawa watu MUNGU wao tofauti sana tu. Ni tofauti kwa kuwa hata tunayoyaamini au tuliyoagizwa kuyaamini pia yako tofauti. Kama angekuwa MUNGU mmoja, hata imani yetu ingekuwa moja.
zaleo mimi naamini hata kama mtu atamkashifu vipi KRISTO, MKRISTO hana sababu ya kuanza vita na mtu huyo kwa sababu ya aina yoyote ile, zaidi ya kukupa elimu unayotaka kuifaham. zaidi ya hapo utakuwa sio ukristo. Sasa dini ya wenzetu mtu na uharamia wake katengeneza movie kwa matakwa yake binafsi, badala hata basi kumtafuta mhusika, eti ubalozi wa nchi, watu wake wote na mali zao zinaharibiwa=HUU NI UJINGA NA USHETANI MKUBWA. Kwani hata YESU akitukanwa, ataacha kuwa YESU? Kwa nini mtume atukanwe halafu wafuasi wake wanalipuka na kuhatarisha usalama wa watu wengine? au hatakuwa mtume tena? mnachekesha ndugu zetu waislam.
Yesu alitukanwa sana, alidhihakiwa sana, alitemwa mate hadharani na alikuwa na uwezo wa kufanya kila lililobaya dhidi yao, lakini aliishia kuwaombea rehema kwa kusema HAWAJUI WALITENDALO. Mi nadhani huku ndiko MUNGU aliko na si kwngineko kulikojaa ushetani=vurugu, ghasia, uvunjifu wa aman na mengine mengi

ally kombo bado unatafuta juzuu, ukiipata tutafutie kabisaaaa na mafundisho ya Yesu kristo, alifundisha nini, wapi wapi na wapi, utoe mifano zaidi ya thelathini ya maeneo tofauti tofauti, na injili tofauti tofauti aliyoihubiri, utuambie na hao waliomwamwini kama mnafanana nao enyi mjidaio kumkubali yesu na kukataa kumtii.
Nenda ukadese kwa ponda.
.........Na tukawafuatishia hao (Wayahudi) Issah bin Maryam (Yesu) kuhakikisha yaliyokuwa kabla yake katika Tourat, na tukampa Injili iliyomo ndani yake uwongofu na nuru, na inayosadikisha yaliyokuwa kabla yake katika Tourat na ni uwongofu na mawaidha kwa wachamungu. Quran:Maida 5:46.
..........(Yule mtoto: Yesu) akasema:Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu, Amenipa Kitabu (Injili) na amenifanya Nabii. Quran: Maryam: 19:30.
" Mwenyezi Mungu, hakuna mungu ila Yeye Aliye Hai,Msimamizi wa Yote Milele. Amekuteremshia Kitabu kwa haki, kunachosadikisha yaliyokuwa kabla yake. Na aliteremsha Tourat na Injili " Quran: Imran 3: 2-3;
Sawa, umetumia haki yako ya kimsingi ya kuongea. Lakini haki hiyo haitauondoa ukweli uliopo ambao hata ukiambiwa vipi umeganda na unachodhani ndio ukweli. Ni sawa Harun na Musa walikuja baadaye na sio kabla ya Kristo. Ukisema mkristo maanayake ni mfuasi wa Kristo na kwa kuwa japo alikuwapo katika ulimwengu wa kiroho bado hakuwa amejidhihirisha kimwili, Kristo mwenyewe amesema katika injili ambayo hata uislamu umeagizwa kuamini na mtume wao, kwamba hata kabla Ibrahim hajazaliwa yeye alikuwapo akiwa na Babaye. Sio lazima uamini hilo, lakini iamini misahafu basi, maana ina pumzi ya Mungu. Hata tubishane vipi, Mungu anabaki Mungu na mwanaye Yesu Kristo na kisha Roho Mtakatifu kukamilisha Utatu wa Uungu wake. Nimeshauri mada hii ihamie jukwaa lake. Hata hivyo asante kwa kujieleza. Wakristo kamwe hawatakuwa hoi kwa vile hawatumii maguvu kuamini mambo ya rohoni na wala hawalazimishi watu wengine waamini kama wao. Mungu anawajua walio wake na kamwe binadamu hawezi kumsaidia Mungu kutimiza mapenzi yake. Mapenzi ya Mungu anayatimiza Mungu mwenyewe sio kwa vurugu ila kwa upole na utaratibu, sababu Mungu huyu ni wa utaratibu.
............Au mnasema kuwa Ibrahim na Ismael na Is'haq na Yakuub na wajukuu zao, walikuwa wayahudi au wakristo ? sema:Je nyinyi mnajua zaidi au Mwenyezi Mungu ? Na ni nani mwenye kudhulumuzaidi kuliko yule aliyeficha ushahidi alionao utokao kwa Mwenyezi Mungu ? Na Mwenyezi Mungu si Mwenye kughafilika na hayo myafanyayo. Quran: Al Baqara 2: 140.
kwani huyo kitimoto aliwakosea nini jamani hadi wamamchukia kiasio hicho...mbona kipindi cha mfungo kinakosa soko....na wenyewe mbona wanakula na wanakipenda sanaaaa.....sipendi kueleza kitimoto alimla nani..oshhh sorrry, alikula nini au alifukua nini....nisijepigwa ban hapa, ila ninachopenda kusema ni kwamba, kama wanavyohubiri kuwa uislam ni amani, waprove basi kama kweli hiyo ni dini ya amani au ni dini ya fujo. watuache sisi tunaofuga kitimoto, mbona wao wanafuga majini sisi hatuandamani wakati yanawadhuru kweli raia mtanai huku?
Hivi nyie Waislam mungu mnayemuabudu yaani Allah (SA) ndiye huyo huyo anayeabudiwa na Wakristu?
huyo hapo