Tungejipanga kwenye Majanga kama tulivyowekeza Polisi bila shaka tusingetumia mikono kuondoa tope Hanang

Tungejipanga kwenye Majanga kama tulivyowekeza Polisi bila shaka tusingetumia mikono kuondoa tope Hanang

Wewe unasema sisi siyo masikini!! Are you serious?

Mimi naamini sisi ni maskini kupindukia. Ila umaskini wenu siyo mali bali ni umaskini wa akili, maadili na uongozi katika taasisi mbalimbali, ambao ni umaskini mbaya kuliko mwingine wowote.
Huwa nalisema hili kila siku mkuu na niko na wewe kwa kila ulilosema
Umasikini wa akili mbaya sana
 
Back
Top Bottom