Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 Dec 6, 2023 #61 Bams said: Wewe unasema sisi siyo masikini!! Are you serious? Mimi naamini sisi ni maskini kupindukia. Ila umaskini wenu siyo mali bali ni umaskini wa akili, maadili na uongozi katika taasisi mbalimbali, ambao ni umaskini mbaya kuliko mwingine wowote. Click to expand... Huwa nalisema hili kila siku mkuu na niko na wewe kwa kila ulilosema Umasikini wa akili mbaya sana
Bams said: Wewe unasema sisi siyo masikini!! Are you serious? Mimi naamini sisi ni maskini kupindukia. Ila umaskini wenu siyo mali bali ni umaskini wa akili, maadili na uongozi katika taasisi mbalimbali, ambao ni umaskini mbaya kuliko mwingine wowote. Click to expand... Huwa nalisema hili kila siku mkuu na niko na wewe kwa kila ulilosema Umasikini wa akili mbaya sana