Tungekua na nafasi ya kurudia kiapo cha ndoa kila mwaka

Walioko ndani wanatamani kutoka
Walioko nje wanatamani kuingia(huu msemo niliusikia siku nyingi sana tangu niko mdogo).

Walioko nje pamoja na kuambiwa, kusikia na kuona mauza uza ya ndani bado wanataka kuingia
Wakifika wanadhoofika, wanatahayari, wajasiri pekee wanatoka na kuendelea na maisha
Wengi hufa kihoro na Monkey Smile...

Life is full of mysteries.
 
Du yaani ingekua ikifika anniversary mwenza akisema yuko tayari kuendelea na safari, unachinja kuku kushukuru.
 
Ndoa ni nzuri mkikutana watu waelewa juu ya maisha na asili yake! Ila ndoa ni ngumu sana endapo mmoja atakuwa perfectionist na hiki ndio kinaua furaha katika ndoa nyingi regardless ya changamoto za kimaisha😅
 
Kama unavaa viatu size 8, unakuta kiatu cha Gucci kwenye mtumba lakini ni size 7. Kwasababu ya jina na uzuri wa kiatu unasema isiwe tabu. Kilazimishe mguuni, marafiki na wapambe wakusifie umependeza lakini maumivu unayo yapata yanakwenda moja kwa moja moyoni.
 
Yeah, watu wanabadilika kadri muda unavyoenda.
Uliyemkubali leo kesho unashangaa....!!

Ndo yeye au alikuwa mzimu wa ukoo wao.....!!😅😅
Nilikua ninaongea na work mate mwanaume. Aliniambia wanaume ni wawindaji, mwanaume akikamata windo atalitunza. Matatizo wanawake wanapowinda mwanaume, unamfanya asiwe na zile amsha amsha.
 
Hii avatar huwa naipenda Sana vile ilivyo na bashasha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikua ninaongea na work mate mwanaume. Aliniambia wanaume ni wawindaji, mwanaume akikamata windo atalitunza. Matatizo wanawake wanapowinda mwanaume, unamfanya asiwe na zile amsha amsha.
Wanaume wengi (si,wote) tunadhan sisi ndo tumehangaika kutongoza,kukubaliwa ,kuchumbia na kutoa mahari na hatimae ndoa bila kujua kwamba mwanamke ndo amekuseti na kupangilia kila kitu ili uingie mzima mzima...ukishaingia ndo sasa ana execute ile plan yake ya kukupata wewe na hapo,ndo mwanzo wa kuona ndoa chungu..
 
W
Wajasiri pekee ndo wanatoka na kue delea na maisha....
 
Ndoa ni nzuri mkikutana watu waelewa juu ya maisha na asili yake! Ila ndoa ni ngumu sana endapo mmoja atakuwa perfectionist na hiki ndio kinaua furaha katika ndoa nyingi regardless ya changamoto za haswaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…