Gidbang
JF-Expert Member
- Jun 1, 2014
- 4,482
- 3,999
Sifa kubwa ya ndoa kuvunjika kisheria ni ipi ambapo ukifile kesi hakuna mambo marefu maana naona kifo hichooo sonona na insomnia nimeshaanza kuongea peke yanguW
Wajasiri pekee ndo wanatoka na kue delea na maisha....