Tungekua na nafasi ya kurudia kiapo cha ndoa kila mwaka

all in all ndoa ni taamu

Nakumbuka enzi hizo nilipojilipua kuoa wengi walinitisha sana, mwaka wa sita huu naelekea kuwa legend

Kiapo hata Kila mwisho wa mwezi kwangu poa tu
Hata mimi mkuu 6 yrs tena kama ndo tumeoana jana.
Ndoa ni uwajibikaji na si hisia.
Ukichukulia hisia utaachana na wengi, nikumuomba Mungu tu oa anaye kufurahisha wewe, si anaye mfurahisha rafiki,wazazi au yeyote yule.
Utaishi kwa amani sana.
 
Sifa kubwa ya ndoa kuvunjika kisheria ni ipi ambapo ukifile kesi hakuna mambo marefu maana naona kifo hichooo sonona na insomnia nimeshaanza kuongea peke yangu
Pole nduguu.

Nacheka utadhani mazuri...!!!πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†.

Seems unahitaji divorce fast track, isiwe na mlolongo mrefu aahahahahah.
 
Hahahahahaha lol!!!! Mke A alikuwa ana viuno hatari pia kufinyia kwa ndani ilikuwa raha sana. Hivyo jamaa anamcheck kama kaolewa ama yuko single ili amuoe tena. 😜😜😜

View attachment 1825081
Ndoa nyingi zingekua recycled na wengi wangepata nafasi ya kuingia kwenye ndoa.
 
Kanisa katoliki parokia ya Mzumbe-Moro wana huo utaratibu mnavaa shela zenu na suti mnavishana pete tena na kula kiapo altareni mbele ya padri.
 
Nimetoka selo jamani, tutajumuika pamoja tena nashukuru kwa upendo wenu πŸ˜‚!!! Watu wenye nia mbaya walinipakazia kesi kwa Mods
Umefunzika adabu huko selo au ulipelekwa ukajifunze fujo zaidi.🀣🀣
 
Hiiii point bora kabsa ndan ya mwaka huuu [emoji106]
 
Kuna mshikaji wang alioa mwaka jana leo yuko bize mahakamani anapambana kutoa talaka
Ndoa hiz bana daaa mie naona bora nizae watoto tuuu swala la ndoa nikifka miaka 46 ndo ntaoa
 
Duh haya bana ndoa kama ndoa hata Lipumba leo ndoa yake imempatia chanjo hahaaaaa oeni nduguzangu huo ndio ukweriiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…