Kigezo cha fedha ni exception na sio rule
Na kumbuka wenye pesa za kuchanganya sio wengi kwenye jamii
Tufanye hivi,jamii yote from the top to the bottom,kuwe na sheria watu wote warudie vows,itakua ni YES mostly
Sio kwa kupenda,ni kwa reasons za umri au soko ni dogo la kupata mkataba nje