Tungekua na Vyombo vya Dola huru, Kwa Manufaa ya Taifa, Umoja, Mshikamano na Maendeleo thabiti yanayowaunganisha Watanzania

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Niliwahi Uliza , Huu Utekaji, Mauaji, Ufungwaji wa Makanisa, Majaribio ya kuua Viongozi wa Dini, Kumpa LISSU kesi ya kihuni, Kuzuia CHADEMA , kujtahidi sana Mbowe kua Mwenyekiti wa CHADEMA, kufadhili CHAUMA, haya yoooote ni sababu ya Urais wa Miaka mitano tu?.

Urais ambao Hayati Magufuli aliuacha??.

Lazima tukubaliane Kwa pamoja, kua Nyuma ya haya yote, Kuna Waovu Kwa mgongo wa Uwekezaji ambao Kwa Sasa wanahofu kubwa Juu ya Anguko la Samia na Unyonyaji wao hapa Nchini.

Yaan hii ni kiapo, kiapo Cha iwe ni Kwa Damu lazima uendelee kua Rais.

Yaan Top Officials hawaitazami Nchi katika Sura ya Kizalendo, badala yake ni "Kula Kwa kamba yako, nyamaza, siku ziende ".

Ndio maana unaweza shangaa hapa, Anayepaswa Kuwaambia watanzania Tumekamata Wanaoteka na kuua watu ,au Tumewakamata wanaouua na kuteka watu Kwa sababu za Ushirikina na Mapenzi, Yeye anatoka kulalamika.

Unashangaa, Yaan Muliro anashangaa na kulalamika ... Hapa ndipo Nchi imefikia.

Hoja za Gwajima ziko wazi na ni thabiti, Ukweli ni kua, Viongozi wa juu wa Dola, Wanatakiwa kulindwa na KATIBA, Mabadiliko yalotokea ya viongozi wa juu wa Dola, yalikua yanasukumwa na Political and personal interests na sio Faida Kwa Taifa, na hii inathibitika kupitia Matukio ya kiovu yanayoendelea Nchini.

Nikawahi kuwauliza Vyombo vya Dola, Mnauhakika kabisa Samia Hawaingizi kwenye muendelezo wa Matendo ya kiovu miaka yote ya yeye kua Madarakani?... Kwa sababu Ukosoaji utaendelea, tutampinga kwelikweli, tutamrejesha kwenye Bandari, Misitu , Viwanja vya Ndege , Utekaji, Mauaji, Wachina kuzaagaa, Migodi n.k Kwa Ufupi tutampinga waziwazi , Je Utekaji na Mauaji na Makesi ya Kifala yataendelea Kwa wanaomkosoa? Na mwisho wake ni nn? .

Laiti Tungekua na Vyombo vya Dola huru, Kwa Manufaa ya Taifa, Umoja, Mshikamano na Maendeleo thabiti yanayowaunganisha Watanzania, Maovu yanayoendelea Nchini yangekua yameshatokomezwa, Kwa bahati mbaya, Corrupted officials wameamua kuendelea kuwalinda Wafadhili wa Maovu haya , provided kwamba Matumbo yao na familia zao, na Akaunti zao Benki zinasoma Mabilioni !!.

Hata hivo ,nikiwa kama mwanamaombi kama walivyo wengine , wapendai haki, ni hakika Mungu amesikia kilio Cha Watanzania, Mwaka huu ni mwisho wa Wahuni na Genge lao.
 
TikTok - Make Your Day This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
 
Back
Top Bottom