Tungekufa ajali mbaya sana kitaifa daraja walipokufa Wajapan pale Moshi kwa ajili ya trafiki kupafanya mradi wa taifa wa kutolea faini!

wanasubiri rambirambi
 
Jaman tuache uchawi, yaan pale kwa Sadala wasiwepo askar ili tuumizane?
Mleta Mada ww ni mwepes Sanaa. Sasa ulitaka TRAFFIC aende akaizuie gar isirud nyuma?TRAFFIC piga mikeka hawa watu wazembe
 
Jaman tuache uchawi, yaan pale kwa Sadala wasiwepo askar ili tuumizane?
Mleta Mada ww ni mwepes Sanaa. Sasa ulitaka TRAFFIC aende akaizuie gar isirud nyuma?TRAFFIC piga mikeka hawa watu wazembe

Nimesema kuna watu humu ndani mnachangia lakini sio madereva. Ninachosema ni kwamba, kuweka trafiki pale na kusababisha magari yawe yanapanda kwa msururu ni hatari sana, kama ambavyo ilivyotaka kututokea. Pili nimesema upande wa huku moshi ile solid line imerefushwa sana pasipo sababu za msingi. Tatu nikasema, kama serikali inaona lile ni eneo hatari sana panapaswa kuwa na zaidi ya trafiki 20 kila siku, basi waweke climbing lanes. Kumbuka sababu za kuweka trafiki pale ni kuzuia ku-overtake na hiyo 50km/hr. Ukiweka climbing lanes unaondoa vyote viwili na kufanya eneo liwe salama sana kwa magari.

Na ukiniuliza nitakuambia bora kuchelewesha SGR kwa mwezi mmoja ili tuweke climbing lanes pale.
 
wanasubiri rambirambi
Na kutangaza kuwa serikali itanunua majeneza, kutembelea majeruhi hospiali na kusema nakupa laki tano. Yaani kuna watu wamefanya ajali kuwa fursa ya kiki za kisiasa. Ni kama sehemu wanazojua ni hatari wanaacha makusudi kushughulikia!
 
Huna hobby ya kubishana wewe.

Hapo hadi wanasheria wangepigiwa simu.

Kwanza nisingesimama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama umeacha mita 100. Gari linalorudi nyuma halina guarantee ya kusimamia wapi. Linaweza likakukuta na kukupita vilevile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulikua unanijibu Mimi ,kama ndiyo nakupa pole ,naona unajibu kama bado umeshika usukani nalori linarudi vile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna hobby ya kubishana wewe.

Hapo hadi wanasheria wangepigiwa simu.Kwanza nisingesimama.Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi ninachoona ni kwamba kwa akili ya uongozi wa Tanzania na Trafiki, suluhisho la kupunguza ajali nchini ni kuweka askari wa trafiki kila baada ya mita mia katika barabara zote kuu za Tanzania! Huko ndiko kufikiri kwao.
 
Ulikua unanijibu Mimi ,kama ndiyo nakupa pole ,naona unajibu kama bado umeshika usukani nalori linarudi vile

Sent using Jamii Forums mobile app
Ningetamani siku moja wewe ndio ikutokee ukiwa na familia yako na lori linarudi nyuma na huna kwa kukimbilia kwa kuwa kuna msururu wa magari nyuma yako unaosababishwa na uwepo wa trafiki kukamata overtaking, lakini ukiwa hiyo distance ya sheria unayoisema, tuone kama itakuokoa! Labda itasaidia kukuhekimisha, kama hatutakutoa kwenye gari yako ukiwa mifupa myeusi iliyoungua inayotoa tabasamu la kutisha.
 
kwa sadala au ganda la ndizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…