Tungekuwa na Tume Huru, kuna mtu angekuwa anapiga magoti majukwaani hivi sasa

Mkuu kwenye haya makundi katika jamii ni kundi lipi linaweza piga kura kwa jiwe?
1. Wanafunzi)Elimu ya juu)
2. Wafanyakazi(Serikali na Sekta binafsi)
3. Wakulima (Korosho,Mahindi ....etc)
4. Wafanyabiashara
5. Machinga(20,000 za vitabulisho)

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Wewe una dhani hayo makundi yote yanamchukia Kama mnavyopandikiza chuki.watampigia Makundi yote kwa taarifa yako.
 
Huyu mtu pamoja na kiburi alichonacho, hivi sasa anaishi kwa hofu na mashaka kwani anajua lolote linaweza kutokea Oktoba 28 na ndio maana mnamuona anahangaika kutoa kauli za kujaribu kurekebisha makosa yake ya Siku za mwanzo (kavurugwa).

Ukweli ni kwamba, anajua uwezekano wa yeye kushinda ni mdogo, ila kutokwepo kwa Tume Huru, ndio kunampa matumaini ya asilimia fulani ya kutangazwa mshindi pasipo kushinda, na matumaini hayo, ndio yanamfanya aweze walau kuwa na nguvu ya kuendelea na kampeni, vinginevyo angekuwa frustrated zaidi ya sasa na pengine angefikia hatua hata ya kupiga magoti majukwaani kuomba kura.

Hata wafuasi wake wamepoteza matumaini na nao wao wanategemea mbeleko ya Tume kama mgombea wao.

Yeye na wafuasi wake wakiangalia video za mpinzani wake, wanatamani hata uchaguzi usiwepo au ilitokea jambo uchaguzi usifanyike, ila wajue hakuna kitachobadilika na safari hii wanalo.
Kama tune sio huru sasa chama chetu kimeweka wagombea wa nini? Na miaka yote ya uchaguzi tunashiriki. Kwani tume ndio ina mchango gani kuig'oa Ccm kama sio kuwa na mikakati na sera nzuri.
Kama Chama chetu ruzuku zinaliwa ndio tunaweza kuwag'oa Ccm?
 
WATU WAJINGA NA WATU PUMBAVU
Ni kubwa tofauti,wajinga na pumbavu
Zao lao wajuwaji,ni watu pumbavu
Vidomodomo vingi,watu pumbavu
Hutafuta mizizi,hawa-wajinga

Hawana ushahidi,watu pumbavu
Roporopo nyingi,watu pumbavu
Lawama hawaishi,watu pumbavu
Kujifunza hawaachi,hawa-wajinga

Sheria hawajuwi,watu pumbavu
Ufitini hawaishi,watu pumbavu
Na mwingi uzushi,watu pumbavu
Hufanya tafiti,hawa-wajinga

Ngumbaru waakili,watu pumbavu
Adabuyao mikiani,watu pumbavu
Taaluma huinajisi,watu pumbavu
Wana adabu na utii,hawa-wajinga

Nguvu yao mitaji,watu pumbavu
Mawazo yao tumboni,watu pumbavu
Ndogo punje zao akili, watu pumbavu
Hujishusha kokoloni,hawa-wajinga

Hawana dira maskini,watu pumbavu
Ushindani usomsingi,watu pumbavu
Mahakimu maishani,watu pumbavu
Sifa zao ni nzuri,hawa-wajinga​
 
Kama tune sio huru sasa chama chetu kimeweka wagombea wa nini? Na miaka yote ya uchaguzi tunashiriki. Kwani tume ndio ina mchango gani kuig'oa Ccm kama sio kuwa na mikakati na sera nzuri.
Kama Chama chetu ruzuku zinaliwa ndio tunaweza kuwag'oa Ccm?
tapatalk_1601416900707.jpeg
 
Akili za poyoyo hizo.
Mnatembea na wasani karibu 200 utegemee washamba hawataenda kuona wasanii.
Kwa taarifa tu 90% ya wafanyakazi walioko dodoma hawatampigia magufuli, na wengine walio sekta nyingine pia, wafanyabiashara, na wasomi walio wengi hawawezi kumpigia, wale alowavunjia, alowatukama alokula hela zao za msaada wa tetemeko nk
Tundu Lissu bado sana kupambana na Magufuli, Sema ni mchafuzi tu wa muda,

Kila anapopita pia kuna makundi yanarudi kufuta nyayo zake,
 
Huyu mtu pamoja na kiburi alichonacho, hivi sasa anaishi kwa hofu na mashaka kwani anajua lolote linaweza kutokea Oktoba 28 na ndio maana mnamuona anahangaika kutoa kauli za kujaribu kurekebisha makosa yake ya Siku za mwanzo (kavurugwa).

Ukweli ni kwamba, anajua uwezekano wa yeye kushinda ni mdogo, ila kutokwepo kwa Tume Huru, ndio kunampa matumaini ya asilimia fulani ya kutangazwa mshindi pasipo kushinda, na matumaini hayo, ndio yanamfanya aweze walau kuwa na nguvu ya kuendelea na kampeni, vinginevyo angekuwa frustrated zaidi ya sasa na pengine angefikia hatua hata ya kupiga magoti majukwaani kuomba kura.

Hata wafuasi wake wamepoteza matumaini na nao wao wanategemea mbeleko ya Tume kama mgombea wao.

Yeye na wafuasi wake wakiangalia video za mpinzani wake, wanatamani hata uchaguzi usiwepo au ilitokea jambo uchaguzi usifanyike, ila wajue hakuna kitachobadilika na safari hii wanalo.
Kumbe wewe ulimgundua toka kitambo.
 
"...Mungu huwapinga wenye kiburi, lakini huwapa wanyenyekevu neema"

"Hakika yake huwadharau wenye dharau, Bali huwapa wanyenyekevu neema"

Amechelewa sana, atavuna alichopanda maana Mungu hadhihakiwi.
 
Back
Top Bottom