Nangoja comment nimjue zaidi
Anaongeleaje kuhusu muungano?Huyu mzee namkubali sana, Hii interview yake nahisi ni sehemu ya kwanza, KIkubwa ninachomkubali nikuwa sio mramba makalio, na yupo straight forward.
View: https://www.youtube.com/watch?v=4-bEP38bqD8&t=1309s
Pascal Mayalla Unamzungumziaje huyu mzee wetu
Anaongeleaje kuhusu muungano?
Tatizo sa hiv hatuna waandishi wa habar bali kuna mareporter na machawa weng tu katika tasniahakuna alipoongelea mkuu, Muandishi anaemuhoji ana papara sana
Leo nipo desperate sijui what's going on kichwani mwangu..I do not feel anything..not happy...hope itakua labda kwa kua next week ntaenda clinic kuangalia maendeleo ya mguu wangu..ungepitia hiyo interview mkuu, very interesting, ila ni ndefu kidogo inahitaji MB za kutosha
Hapo kwenye MBungepitia hiyo interview mkuu, very interesting, ila ni ndefu kidogo inahitaji MB za kutosha
Leo nipo desperate sijui what's going on kichwani mwangu..I do not feel anything..not happy...hope itakua labda kwa kua next week ntaenda clinic kuangalia maendeleo ya mguu wangu..
Tatizo sa hiv hatuna waandishi wa habar bali kuna mareporter na machawa weng tu katika tasnia
AsantePole sana mkuu
Itwa salim said salimNangoja comment nimjue zaidi
Kumbe ndio huyu pia nakumbuka enzi za RAI NGUVU YA HOJAAna
Itwa salim said salim
ni mzanzibar zamani akiandikia rai nguvu ya hoja. Acha kabisa hilo gazeti lilikuwa na nguli wengi.