Tungekuwa tunatumia akili, tungeisapoti timu ya Biashara

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Kwa bahati mbaya sana akili zetu tunazitumia kukimbizana na CHADEMA kila kukicha.

Kwa MTU mwenye akili angetumia fursa ya Biashara United kuitanganza Tanzania! Tungeweza kuitangaza nchi hii kwa bei chee sana.

Hivi unawezaje kununua ndege kwa pesa Cash kisha ushindwe kuipa support Biashara United ambao ni Ambassadors wazuri sana kuitangaza nchi kimataifa??

Nani anajua kuwa huenda Vijana wa biashara wangeweza kuonwa huko Na timu nyingine? Tungeitangaza Tanzania, tungeingizia nchi fedha, tungezalisha akina Samantha wengine wengi.

Tunasubiri washinde kisha tuwapokee kwa Kamera za TBC huku tukisema ni juhudi za serikali....jinga kabisa!

Hivi tuna Wizara? Ni kweli Tanzania imeshindwa kuwasaidia hawa Wawakilishi? Wakitoka Nje ya nchi wawe ni Simba, Azam, Yanga au Biashara etc hawatambuliki kwa majina yao Bali kwa jina la nchi! Tanzania.

Hivi TFF kazi yao ni nini? Nimeumia sana Biashara kukosa mchezo wao kwa uzembe wa hali ya juu.

Serikali ya CCM inazidi kuua ndoto za vijana aiseeee
 
Nchi Hii Tuna viongozi wa hovyo Sana[emoji26]


Ndugai nae ameshindwa hata kuliona hili?
 
Katika.hili swala nawalaumu viongozi wa biashara.kwa sababu wangeimba Sapoti ya wadau mapema mbona wasingeteseka kabisa kwa ule ushindi wa hapa bongo wamepitisha hata bakuli tu mbona fresh

Lawama la pili kwa mkuu wa mkoa wa mara kama aliweza kuwaahidi manoti wakiifunga [emoji881] kwa nn asingewapa sapoti hata sasa


La mwisho tuna waziri wa hovyo wa michezo wao wanachoweza ni kuipongeza timu ikishinda tu kulikobaki kote ni kazi ya TFF
 
Shukrani sana sana! You nailed it
 
Kuna watu wanalaumu sijui Ali happi,sijui GSM wakati ni jambo la kila mmoja ambae ni mdau WA soka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…