Tungekuwa tunatumia akili, tungeisapoti timu ya Biashara

Wizara ya michezo haiko serious.

Kwenye image ya Taifa tunaharibu sana.

Kuanzia kipindi cha Olympic walizingua, walikosekana hata wa kuwahi kubeba bendera.

Timu zetu za mpira wa miguu wanawake wanafanya vyema kimataifa. Na juzi walikuwa na mechi za kufuzu hapa nyumbani, kimya. Wanashiriki hayo mashindano kama yatima fulani.

Lingine ni hili la Biashara, mambo ya aibu kabisa serikali inasema itawaunga mkono tayari wakiwa wamechelewa na wanajua wazi hii michezo inakuwa na figisu nyingi.

Sidhani kama watanzania tumeshindwa kabisa kuwapa motisha wawakilishi wetu, ila tuna mfumo mbaya wa uongozi na tunapoteza fursa nyingi kizembe.
 
Well narrated Brother! Tuna nchi ina mambo ya ajabu mnooo
 
Pumbavu sana Ally Happi.
Majuzi tu aliwaahidi Milioni 15 waifunge Simba. Kwanini hizo fedha asizitoe Timu iongezee kusafiri Libya. Timu ya Biashara ilikuwa na Image Nzuri lkn kwa uk'uda wa huyo RC wao mnafiki Itabaki hapo ilipo.
 
Ikitokea tukapewa adhabu kumbuka ni wote hawata Seema biashara unt ni timu ya watanzania yani bendera yatu. Aibu inatupata wote. Inauma sana.
 
Kuna watu wanalaumu sijui Ali happi,sijui GSM wakati ni jambo la kila mmoja ambae ni mdau WA soka.
HOJA ya msingi ni kuwa aliyetoa mil. 15 ili wavunje miguu na kung'oa shingo za wachezaji wa SIMBA angeendeleza jitihada hizohizo kuhakikisha timu yake pendwa inatua Tripoli salama!
 
Wizara Ipo
TFF Ipo
RC Yupo
Kuna Watu Wanatakiwa Kushikishwa Adabu Kwa Hili
Lisipite Kimya Kimya Tu
 
Kuna watu wanalaumu sijui Ali happi,sijui GSM wakati ni jambo la kila mmoja ambae ni mdau WA soka.
Lakini lini walishapitisha bakuli japo wadau wa soka wachangie kabla? Viongozi wao pia ni tatizo
 
Kasimu si ajiongelesha sijui tff na wizara hakikisheni timu inafika libya na kucheza, aya teyari wameliwa siasa zao wapeleke huko.
 
Lakini lini walishapitisha bakuli japo wadau wa soka wachangie kabla? Viongozi wao pia ni tatizo
Yaani viongozi wenyewe ndo waliotakiwa waje front kuwashawishi wadau,kwahiyo tatizo limeanza kwa viongozi wa timu wenyewe.
 
HOJA ya msingi ni kuwa aliyetoa mil. 15 ili wavunje miguu na kung'oa shingo za wachezaji wa SIMBA angeendeleza jitihada hizohizo kuhakikisha timu yake pendwa inatua Tripoli salama!
Hiyo haiwezi kuwa hoja,kama akili yako inakutuma hiyo inaweza kuwa ndo hoja kwenye jambo hili your brain is full of shi*t...
 
.
IMG-20211023-WA0061.jpg
 
Kwa bahati mbaya sana akili zetu tunazitumia kukimbizana na CHADEMA kila kukicha.

Kwa MTU mwenye akili angetumia fursa ya Biashara United kuitanganza Tanzania! Tungeweza kuitangaza nchi hii kwa bei chee sana.

Hivi unawezaje kununua ndege kwa pesa Cash kisha ushindwe kuipa support Biashara United ambao ni Ambassadors wazuri sana kuitangaza nchi kimataifa??

Nani anajua kuwa huenda Vijana wa biashara wangeweza kuonwa huko Na timu nyingine? Tungeitangaza Tanzania, tungeingizia nchi fedha, tungezalisha akina Samantha wengine wengi.

Tunasubiri washinde kisha tuwapokee kwa Kamera za TBC huku tukisema ni juhudi za serikali....jinga kabisa!

Hivi tuna Wizara? Ni kweli Tanzania imeshindwa kuwasaidia hawa Wawakilishi? Wakitoka Nje ya nchi wawe ni Simba, Azam, Yanga au Biashara etc hawatambuliki kwa majina yao Bali kwa jina la nchi! Tanzania.

Hivi TFF kazi yao ni nini? Nimeumia sana Biashara kukosa mchezo wao kwa uzembe wa hali ya juu.

Serikali ya CCM inazidi kuua ndoto za vijana aiseeee
Sio kwamba wamekosa pesa, we inaingia akilini hiyo? Ni kwamba wameuza game, wamepewa pesa ili wasiende, na ni pesa nyingi sana
 
Katika.hili swala nawalaumu viongozi wa biashara.kwa sababu wangeimba Sapoti ya wadau mapema mbona wasingeteseka kabisa kwa ule ushindi wa hapa bongo wamepitisha hata bakuli tu mbona fresh

Lawama la pili kwa mkuu wa mkoa wa mara kama aliweza kuwaahidi manoti wakiifunga [emoji881] kwa nn asingewapa sapoti hata sasa

La mwisho tuna waziri wa hovyo wa michezo wao wanachoweza ni kuipongeza timu ikishinda tu kulikobaki kote ni kazi ya TFF
Wameuza game, kama suala ni pesa si wangesema mapema na serikali kupitia TFF ingewapa, sasa wamecheza mchezowa kuuza game, pumbavu sana
 
Kwa bahati mbaya sana akili zetu tunazitumia kukimbizana na CHADEMA kila kukicha.

Kwa MTU mwenye akili angetumia fursa ya Biashara United kuitanganza Tanzania! Tungeweza kuitangaza nchi hii kwa bei chee sana.

Hivi unawezaje kununua ndege kwa pesa Cash kisha ushindwe kuipa support Biashara United ambao ni Ambassadors wazuri sana kuitangaza nchi kimataifa??

Nani anajua kuwa huenda Vijana wa biashara wangeweza kuonwa huko Na timu nyingine? Tungeitangaza Tanzania, tungeingizia nchi fedha, tungezalisha akina Samantha wengine wengi.

Tunasubiri washinde kisha tuwapokee kwa Kamera za TBC huku tukisema ni juhudi za serikali....jinga kabisa!

Hivi tuna Wizara? Ni kweli Tanzania imeshindwa kuwasaidia hawa Wawakilishi? Wakitoka Nje ya nchi wawe ni Simba, Azam, Yanga au Biashara etc hawatambuliki kwa majina yao Bali kwa jina la nchi! Tanzania.

Hivi TFF kazi yao ni nini? Nimeumia sana Biashara kukosa mchezo wao kwa uzembe wa hali ya juu.

Serikali ya CCM inazidi kuua ndoto za vijana aiseeee

FT: Pyramids FC 1-0 Azam FC (Mossad 29’) (agg 1-0) Azam FC imeondolewa Kombe la Shirikisho Afrika na Pyramid FC ya Misri. #CAFCC #MillardAyoSPORTS
 
Back
Top Bottom