Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mifano hai tangia FAT mpaka imekuwa TFF hawajawahi kuwaacha Simba au Yanga wakwame kwe kuwakilisha nchi. Uyanga na Usimba umetufikisha hapoKwa bahati mbaya sana akili zetu tunazitumia kukimbizana na CHADEMA kila kukicha.
Kwa MTU mwenye akili angetumia fursa ya Biashara United kuitanganza Tanzania! Tungeweza kuitangaza nchi hii kwa bei chee sana.
Hivi unawezaje kununua ndege kwa pesa Cash kisha ushindwe kuipa support Biashara United ambao ni Ambassadors wazuri sana kuitangaza nchi kimataifa??
Nani anajua kuwa huenda Vijana wa biashara wangeweza kuonwa huko Na timu nyingine? Tungeitangaza Tanzania, tungeingizia nchi fedha, tungezalisha akina Samantha wengine wengi.
Tunasubiri washinde kisha tuwapokee kwa Kamera za TBC huku tukisema ni juhudi za serikali....jinga kabisa!
Hivi tuna Wizara? Ni kweli Tanzania imeshindwa kuwasaidia hawa Wawakilishi? Wakitoka Nje ya nchi wawe ni Simba, Azam, Yanga au Biashara etc hawatambuliki kwa majina yao Bali kwa jina la nchi! Tanzania.
Hivi TFF kazi yao ni nini? Nimeumia sana Biashara kukosa mchezo wao kwa uzembe wa hali ya juu.
Serikali ya CCM inazidi kuua ndoto za vijana aiseeee
Mtunwa kwanza anae stahili adhabu ni viongozi wa biashara wenyewe , kwann wao hawakujipangankisaka mdhamini walau wa kuwapa 200M, tangu msimu ulipo isha walikuwa wana fahamu ya kuwa wana paswa kushiriki mashindano ya kimataifa ...Kwa bahati mbaya sana akili zetu tunazitumia kukimbizana na CHADEMA kila kukicha.
Kwa MTU mwenye akili angetumia fursa ya Biashara United kuitanganza Tanzania! Tungeweza kuitangaza nchi hii kwa bei chee sana.
Hivi unawezaje kununua ndege kwa pesa Cash kisha ushindwe kuipa support Biashara United ambao ni Ambassadors wazuri sana kuitangaza nchi kimataifa??
Nani anajua kuwa huenda Vijana wa biashara wangeweza kuonwa huko Na timu nyingine? Tungeitangaza Tanzania, tungeingizia nchi fedha, tungezalisha akina Samantha wengine wengi.
Tunasubiri washinde kisha tuwapokee kwa Kamera za TBC huku tukisema ni juhudi za serikali....jinga kabisa!
Hivi tuna Wizara? Ni kweli Tanzania imeshindwa kuwasaidia hawa Wawakilishi? Wakitoka Nje ya nchi wawe ni Simba, Azam, Yanga au Biashara etc hawatambuliki kwa majina yao Bali kwa jina la nchi! Tanzania.
Hivi TFF kazi yao ni nini? Nimeumia sana Biashara kukosa mchezo wao kwa uzembe wa hali ya juu.
Serikali ya CCM inazidi kuua ndoto za vijana aiseeee
Inasikitisha sana...Tunasbiri washinde kisha tuwapokee kwa Kamera za TBC huku tukisema ni juhudi za serikali....jinga kabisa!